Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kweli mkuu kwa sababu vipaji vya soka huku ni real sasa cha ajabu Tff wameenda kujenga viwanja kwa pesa za FIFA Singida,Tanga,Dom na Arusha.Mbeya kwa kwel wanahitaj uwanja wa kisasa
Iringa ya wapi mkuu? Mada ilivyoandikwa ndio sahihiIhefu FC si ni ya Iringa mkuu?
Hautumiki kama zamaniNakumbuka kiwanja ngoma pale soko Matola ,mmoja ya uwanja ulio zalisha wachezaji BORA ,ili kuwa ina pigwa ligi ya maana Sana pale hivi huu uwanja hadi leo upo?
Mbeya ndio SOCCER CITYMbeya mko juu.
Zitabaki tuu maana kuna nafasi ya kucheza play offMbeya city na Ihefu sidhani kama zitabakia ligi kuu msimu ujao
Ken Gold anacheza play off na Ihefu akimaliza wa 5 atacheza play off kwa hiyo zinaweza kubaki ligi kuu na nyingine kupanda ligi kuu shida ni kama zitakutananina mashaka sana na ihefu aisee,........ next season wakijitahidi sana watakua na timu 4 (prison, mbeya kwanza, city) hao ihefu na ken gold mmoja au wote hatabaki
Hautumiki kama zamani
Nakumbuka kiwanja ngoma pale soko Matola ,mmoja ya uwanja ulio zalisha wachezaji BORA ,ili kuwa ina pigwa ligi ya maana Sana pale hivi huu uwanja hadi leo upo?
Hiv kwann tff waliamua kupunguza