Hongera Mbeya kwa kuwa na timu nyingi ligi kuu

Hongera Mbeya kwa kuwa na timu nyingi ligi kuu

Wanangu wa Mbeya hongera zenu kwa kuwa ma giants wa soka nchini just behind Dar

Nitoe pongezi kwa Timu za Mbeya City,Ihefu fc,Tanzania Prisons, Mbeya Kwanza na Ken Gold zinaonyesha umwamba wa soka Mkoa wa Mbeya.

Tuiunge mkono na timu ya Ken Gold inayocheza play off ili nayo ipande ligi kuu.

Lakini pia ifike mahala Tff, Serikali kushirikiana na wadau wa soka mkoani Mbeya Ili kujenga miundombinu ya kisasa ya michezo kama viwanja nk Ili kuhamasisha zaidi soka.

Sio kila mkoa una watu wenye vipaji vya michezo bali kule ambako watu wanaonesha juhudi basi waungwe mkono.

Mbeya mgonilee
Ndagha upijile nkamu gwangu.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom