Hongera Mbeya kwa kuwa na timu nyingi ligi kuu

Ndagha upijile nkamu gwangu.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
nina mashaka sana na ihefu aisee,........ next season wakijitahidi sana watakua na timu 4 (prison, mbeya kwanza, city) hao ihefu na ken gold mmoja au wote hatabaki
Unamashaka gani wakati saizi wanakimbia chini kule kwa mwendo wa farasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…