Tumecheza sana pale ligi ya vijana, mara ya kwanza kuuona niliudharau kwa kudhani ata tukicheza dakika mia hakuna kuchokaNakumbuka kiwanja ngoma pale soko Matola ,mmoja ya uwanja ulio zalisha wachezaji BORA ,ili kuwa ina pigwa ligi ya maana Sana pale hivi huu uwanja hadi leo upo?
Kwani zinashuka timu ngapi?Mbeya city na Ihefu sidhani kama zitabakia ligi kuu msimu ujao
Na sangu mkuuForest ya Zamani uwanja wa mpira mlikuwa mnategemea Viwanja vya Sabasaba na Meta Secondary
4 zinashuka moja kwa moja, 2 zinaenda playoff........ lengo ni next season kuwa na timu 16Kwani zinashuka timu ngapi?
Hao CCM wanao miliki viwanja karibu Nchi nzima na kujikusanyia mapato kibao wanashindwaje kuweka hata nyasibandia?Wanangu wa Mbeya hongera zenu kwa kuwa ma giants wa soka nchini just behind Dar
Nitoe pongezi kwa Timu za Mbeya City, Ihefu fc, Tanzania Prisons, Mbeya Kwanza na Ken Gold zinaonyesha umwamba wa soka Mkoa wa Mbeya.
Tuiunge mkono na timu ya Ken Gold inayocheza play off ili nayo ipande ligi kuu.
Lakini pia ifike mahala Tff, Serikali kushirikiana na wadau wa soka mkoani Mbeya Ili kujenga miundombinu ya kisasa ya michezo kama viwanja nk Ili kuhamasisha zaidi soka.
Sio kila mkoa una watu wenye vipaji vya michezo bali kule ambako watu wanaonesha juhudi basi waungwe mkono.
Mbeya mgonilee
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] huko endeleeni kutuzalishia watoto wakaliSawa kule kwetu kondoa sijui vipaji vilienda wap
Kweli mkuu timu 14 wanaumiza timu na baadhi ya mikoa,sio sawa timu 4 kushuka daraja..bora zibaki timu 16Hiv kwann tff waliamua kupunguza
Tim kutoka 18 mpaka 14 c Bora walau zingebak hata 16 maana 14 hiz wamefinya
Sana
Ndagha fijo
Good observation mkuu ,watu wanapenda soka kweli kweli.Mbeya mpira unachezwa sana, ikifika jioni kila kiwanja kipo busy,na kuna kuwa na watazamani pia........hilo linasababisha vipaji kuwa vingi na kuonekana
Sawa lakini Mbeya ni kwao huku wako kwa mkopo kuchangamsha wafipa ,,wakizingua tunarudi zetu MbeyaPrison timu ya jeshi ilo sumbawanga
Ihefu wanabaki
Wiki hii Ken Gold atacheza na Pamba mechi 2 ,mahindi atasubiria kucheza na timu itakayotoka Ligi kuu sio lazima Ihefu na mimi nataka iwe timu ambayo haitoki MbeyaUna uhakika gani atacheza play off na ihefu,?
Ni washenzi tuu mkuu si unakijua chama mbogamboga kilivyo na mafisadi?Hao CCM wanao miliki viwanja karibu Nchi nzima na kujikusanyia mapato kibao wanashindwaje kuweka hata nyasibandia?
Duuh mkuu unaongea kwa kutumia data zipi??nina mashaka sana na ihefu aisee,........ next season wakijitahidi sana watakua na timu 4 (prison, mbeya kwanza, city) hao ihefu na ken gold mmoja au wote hatabaki
Yeah nikweli kabisa mkuuGood observation mkuu ,watu wanapenda soka kweli kweli.
Siku hizi nimeona hadi mashindano ya magari motor Rally,tukileta na marathon mambo yatakuwa [emoji3533][emoji3533][emoji3533][emoji3533]
Tumecheza sana pale ligi ya vijana, mara ya kwanza kuuona niliudharau kwa kudhani ata tukicheza dakika mia hakuna kuchoka
Kwa vile tulishazoea kukipiga uwanja wa ccm na teku ambavyo ni vikubwa, balaaa baada ya kuingia uwanjani uwanja kama una uchawi ata upige kwa nguvu vipi kwenda barabarani ni shughuli
Kwa kifupi upo lakini hautumiki tena kama zamani
upoNakumbuka kiwanja ngoma pale soko Matola ,mmoja ya uwanja ulio zalisha wachezaji BORA ,ili kuwa ina pigwa ligi ya maana Sana pale hivi huu uwanja hadi leo upo?
watazipa nn timu 18 sponsors wakutosha hamnaHiv kwann tff waliamua kupunguza
Tim kutoka 18 mpaka 14 c Bora walau zingebak hata 16 maana 14 hiz wamefinya
Sana
Upo.Nakumbuka kiwanja ngoma pale soko Matola ,mmoja ya uwanja ulio zalisha wachezaji BORA ,ili kuwa ina pigwa ligi ya maana Sana pale hivi huu uwanja hadi leo upo?