Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Nina miaka 48 bestINA MAANA MKUU UNAMZIDI UMRI WEMA???
Kama ni kweli uko vzr upande wa kula chumvi
Jamani ilimradi amechukua hatua mwacheni afanye kazi... sasa mnataka afanyaje? !Hivi biashara ya kuuza kumiliki duka ni yakumpa hongera MTU kama Wema Sepetu wakati huku mtaani hata Mimi mtanzania mnyonge nisiyekuwa na fame yoyote nauwezo wa kuimiliki .
Sanaaa Sanaaa ila kutangulia sio kufikahajachelewa. Angeanza zamani angekuwa na empire kubwa sana maana ni brand kubwa sana huyu dogo.
Aisee wewe ni mama mdogo kabisa.shikamoo Money PennyNina miaka 48 best
Biashara imefilisi wachaga sana hiiHivi biashara ya kuuza kumiliki duka ni yakumpa hongera MTU kama Wema Sepetu wakati huku mtaani hata Mimi mtanzania mnyonge nisiyekuwa na fame yoyote nauwezo wa kuimiliki .
Wema ni brand atapiga sana helaBiashara imefilisi wachaga sana hii
Biashara kwasasa inahitaji utumie ubunifu mkubwa kuifanya tofauti sanaaaaa
Mi nampongeza sana tu..sinaga ubaya nae..Kuna watu wana roho mbaya khaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati hafanyi chochote alikua anasemwa haya ameona ajishughulishe bado watu wanaponda.
Roho mbaya zitatuua wanawake
Bora hata wewe shoga kwenye maendeleo huna neno...Mi nampongeza sana tu..sinaga ubaya nae..
Ubaya wangu kwake ni kumchukia Missa tuu!!!
Mi ndo maana nawapaga makavu liveee..sikopeshagi Wema mbona atauza tu!!ana fans base kubwa..mnoo marafiki zake wengi tuu!!Bora hata wewe shoga kwenye maendeleo huna neno...
wengine ohoo kachelewa ohoo alikua wapi siku zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ohoo haendani nalo ha ha ha mwee yaan full roho mbaya.