Hongera Mdogowangu Wema Sepetu kwa Kufungua Duka

Hongera Mdogowangu Wema Sepetu kwa Kufungua Duka

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Yani Mdogowangu ungeanzaga hii shughuli miaka ya 2000 ungekuwa mbali kinyama
Ila usijali haujachelewa
Tunamshukuru sana Mheshimiwa Raisi kwa Kauli Mbiu yake ya hapa kazi tu.. naona vijana wanachakarika kweli kweli
Risiti ya duka la Wema bonyeza video hapa
 
Hivi biashara ya kuuza kumiliki duka ni yakumpa hongera MTU kama Wema Sepetu wakati huku mtaani hata Mimi mtanzania mnyonge nisiyekuwa na fame yoyote nauwezo wa kuimiliki .
Jamani ilimradi amechukua hatua mwacheni afanye kazi... sasa mnataka afanyaje? !

Mbona Celebrity America, Nigerians wanamiliki Saloons na Maduka ya Nguo itakuwa Wema?!
 
Bora hata wewe shoga kwenye maendeleo huna neno...

wengine ohoo kachelewa ohoo alikua wapi siku zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ohoo haendani nalo ha ha ha mwee yaan full roho mbaya.
Mi ndo maana nawapaga makavu liveee..sikopeshagi Wema mbona atauza tu!!ana fans base kubwa..mnoo marafiki zake wengi tuu!!

Kuna watu wanataka maboss zao tu wafanye wakifanya wengine tabu
 
Back
Top Bottom