Ha ha ha ndiyo hapo sasa.Mi ndo maana nawapaga makavu liveee..sikopeshagi Wema mbona atauza tu!!ana fans base kubwa..mnoo marafiki zake wengi tuu!!
Kuna watu wanataka maboss zao tu wafanye wakifanya wengine tabu
Kazi sio kumiliki duka kazi kuliendesha hilo duka.Hivi biashara ya kuuza kumiliki duka ni yakumpa hongera MTU kama Wema Sepetu wakati huku mtaani hata Mimi mtanzania mnyonge nisiyekuwa na fame yoyote nauwezo wa kuimiliki .
Social media kuna watu wapo kuvunja moyo wenzao kwa namna zote..mi namuombea atulie tu na duka lake tena if possible akae nwenyewe km Hamisaa unless watamuibiaHa ha ha ndiyo hapo sasa.
Sipo team Missa ila huwa nampenda anavyojua kujituma ...huo ndiyo ushabiki hata kama umpendi mtu mpongeze kwa kidogo anachofanya kujiletea maendeleo.
AtawezaKazi sio kumiliki duka kazi kuliendesha hilo duka.
Biashara ya kuendesha duka ni ngumu Sana, isikie tu.
DAH KUMBE NA WW UMRI UMEENDA ASEEEEWE MITONGOZO YOTE ILE TULIJUA NI KIBINTI KIBICHI KUMBEEEEE KIBIBI KIZEE ALOOOOOOOOOO NGOJA DUSHE YANGU NIMTUNZIE PAULA KAJALA AKIKUA ATAIKUTA.Nina miaka 48 best
Kwani ni duka lake la kwanza? Mbona kaanza zamani na lile duka lake la kuuza bidhaa zake sijui perfume, lip shine n.k au umesahauYani Mdogowangu ungeanzaga hii shughuli miaka ya 2000 ungekuwa mbali kinyama
Ila usijali haujachelewa
Tunamshukuru sana Mheshimiwa Raisi kwa Kauli Mbiu yake ya hapa kazi tu.. naona vijana wanachakarika kweli kweli
Risiti ya duka la Wema bonyeza video hapa
Siyo roho mbaya.Kuna watu ni wachawi na wanajua na wengine hawajui. So humu kuna wachawi wengi sana na wanaloga mchana tena kupitia mtandaoni km hapa.Kuna watu wana roho mbaya khaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati hafanyi chochote alikua anasemwa haya ameona ajishughulishe bado watu wanaponda.
Roho mbaya zitatuua wanawake
Nakuswampa aka kupiga misele atamwachia naniSocial media kuna watu wapo kuvunja moyo wenzao kwa namna zote..mi namuombea atulie tu na duka lake tena if possible akae nwenyewe km Hamisaa unless watamuibia
INA MAANA MKUU UNAMZIDI UMRI WEMA???
Kama ni kweli uko vzr upande wa kula chumvi
Miaka yote huko nyuma akiwa hot hakupiga ela itakuwa leo?Wema ni brand atapiga sana hela
Yaani ukitaka uchukiwe na Mtanzania piga maendeleo hasa sisi wanawake.Siyo roho mbaya.Kuna watu ni wachawi na wanajua na wengine hawajui. So humu kuna wachawi wengi sana na wanaloga mchana tena kupitia mtandaoni km hapa.
Hahaha haHongera Wema kwa kuunga mkono juhudi za kujenga TZ ya 'viwonder'
MarahabaaaAisee wewe ni mama mdogo kabisa.shikamoo Money Penny
Tuanze na wewe upo wap kwanHastahili hongera alitakiwa awe zaidi ya hapo
Uuuuwi mwacheniWema anakumbuka shuka kukishakucha tayari
Meona eeKuna watu wana roho mbaya khaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati hafanyi chochote alikua anasemwa haya ameona ajishughulishe bado watu wanaponda.
Roho mbaya zitatuua wanawake
Bonyeza YouTube uoneDuka LA uzinzi au?