Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Ha ha ha ndiyo hapo sasa.Mi ndo maana nawapaga makavu liveee..sikopeshagi Wema mbona atauza tu!!ana fans base kubwa..mnoo marafiki zake wengi tuu!!
Kuna watu wanataka maboss zao tu wafanye wakifanya wengine tabu
Sipo team Missa ila huwa nampenda anavyojua kujituma ...huo ndiyo ushabiki hata kama umpendi mtu mpongeze kwa kidogo anachofanya kujiletea maendeleo.