Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Wakati jitihada za kuzuia mafuriko zinaonekana tokea kwa wateuliwa tusiache kutoa pongezi panapostahili.
Bwana Membe hongera:
Mabwana Sirro, mahera na msajili salamu kwenu.
Huyu mnayemchukia ni kipenzi cha wengi. Acheni kila mtu ashinde mechi zake mwenyewe. Pana haja gani ya kujinunulia kesi?
Mwenye macho haambiwi tazama.
Palikuwa na sababu gani za msingi kwa mabomu yale tarime au kwenye msafara ule wa bwana Mwalimu?
Wananchi tunaona na ni mahakimu wema mno.
Tendeni haki mwende zenu.