Membe amesalitiwa na wasaliti wa taifa
Alale salamaTick Tock
Fake account hiyo, japo inawe,a kuwa kweli anatamani kusema hivyo
Ila nyie wenzetu hhwa hamjui kusoma? Hapo unaoona kabisa kuwa ni fake
Sasa Membe naye unaweza ukashangilia kweli alifanya kampeni kwao akapata watu kiduchuuu!! Kama kwao wamemkataa watz wapi watakuwa wanamtaka!!?Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Wakati jitihada za kuzuia mafuriko zinaonekana tokea kwa wateuliwa tusiache kutoa pongezi panapostahili.
Bwana Membe hongera:
View attachment 1587214
Mabwana Sirro, mahera na msajili salamu kwenu.
Huyu mnayemchukia ni kipenzi cha wengi. Acheni kila mtu ashinde mechi zake mwenyewe. Pana haja gani ya kujinunulia kesi?
Mwenye macho haambiwi tazama.
Palikuwa na sababu gani za msingi kwa mabomu yale tarime au kwenye msafara ule wa bwana Mwalimu?
Wananchi tunaona na ni mahakimu wema mno.
Tendeni haki mwende zenu.
Unaumia vumilia tu ndo kitu yenyewe....Fake account hiyo, japo inawe,a kuwa kweli anatamani kusema hivyo
Ila nyie wenzetu hhwa hamjui kusoma? Hapo unaoona kabisa kuwa ni fake
Hata kura moja tu ya Membe, tunaichukua, itaongeza idadi, wengine waongeze vichwa kwenye kampeni zao!Sasa Membe naye unaweza ukashangilia kweli alifanya kampeni kwao akapata watu kiduchuuu!! Kama kwao wamemkataa watz wapi watakuwa wanamtaka!!?
Washington, DC β The ranking Democratic and Republican members of the U.S. House Subcommittee on Africa are packing a resolution urging the government of Tanzania to respect human and economic rights and to conduct free and fair elections on October 28.Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Wakati jitihada za kuzuia mafuriko zinaonekana tokea kwa wateuliwa tusiache kutoa pongezi panapostahili.
Bwana Membe hongera:
View attachment 1587214
Mabwana Sirro, mahera na msajili salamu kwenu.
Huyu mnayemchukia ni kipenzi cha wengi. Acheni kila mtu ashinde mechi zake mwenyewe. Pana haja gani ya kujinunulia kesi?
Mwenye macho haambiwi tazama.
Palikuwa na sababu gani za msingi kwa mabomu yale tarime au kwenye msafara ule wa bwana Mwalimu?
Wananchi tunaona na ni mahakimu wema mno.
Tendeni haki mwende zenu.
Washington, DC β The ranking Democratic and Republican members of the U.S. House Subcommittee on Africa are packing a resolution urging the government of Tanzania to respect human and economic rights and to conduct free and fair elections on October 28.
House Resolution 1120 - sponsored by California Democrat Karen Bass, who chairs the subcommittee, and the ranking Republican, Chris Smith from New Jersey - reflects growing concern over political and economic developments in Tanzania by members of Congress who follow Africa.
Since the election in 2015 of President John Magufuli, the resolution states, "Tanzania has adopted and enforced multiple repressive laws that restrict freedom of the press, and of expression, assembly, and association." Citing reports of corruption and harassment of U.S. companies operating in Tanzania, the resolution criticizes the government's "lack of respect for contracts and business operations that threaten future U.S. businesses investment and trade partnerships."
Protection of U.S. investor rights is an issue that enjoys bipartisan support, and there are several U.S. commercial disputes in the country at this time. But the driver behind this Congressional expression of concern is the government's nearly four-year dispute with Symbion Power, centered on the breach of a 15-year power purchasing agreement for the Ubungo power plant.
Symbion is a New York-based independent power producer that develops and operates projects in several African countries and has operated in the Middle East and Asia as well.