Hongera Membe, ACT - wengine Salamu kwenu

Membe kweli umejaa hekima basi tu wewe unafaa kuwa Kiongozi maana Uongozi bila hekima hauna kibali popote, wewe siyo mzungumuzaji Ila umejaa Hekima unafaa hata kuwa mshauri.

Hekima ya Membe iko kwenye ushauri wake wa namna ya kutumia kura.

Heko kachero mbobezi!
 
Huyu ndiye Membe aliyekuwa anadai akiguswa ananuka au mwingine?
 
Mlitaka yy ndio awe mgombea wa upinzani au

Ndiyo ilikuwa nia yao. Kilichotokea hawaamini macho na masikio yao. Wanajuta kutofanikisha unyama wao 2017.

Watakuwa internally wanalaumiana.
 
Tangu lini US wawe na huruma kwetu? Wangekuwa na huruma Wangekuwa walishatusaidia kiuchumi na hivyo Tanzania ingekuwa kama US.
Watanzania, mmeshasahau mauaji ya George Flowd?
 
Acha ukilaza kamanda mwenzangu, yaani unashindwa kujua hata acc sahihi ya Benard Membe ni ipi hadi ukaishia kuchukua hilo parody
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Membe kaona kina kirefu!

Yani akili za Membe anazijua mwenyewe!

Haya yeye si anakubalika kuliko Magu? Kiko wapi sasa?
 
 

Attachments

  • Screenshot_20201001-163054.jpg
    64.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20201001-163236.jpg
    70.2 KB · Views: 2
Hivi Maalim Seif aliongea nae nini Magufuli?
 
Acha ukilaza kamanda mwenzangu, yaani unashindwa kujua hata acc sahihi ya Benard Membe ni ipi hadi ukaishia kuchukua hilo parody

Mkuu hilo liko wazi lakini kwenye dunia hii ya kukwepa mitego ni justifiable.

Huwaoni kina yehovaya na mboga mboga wote walivyofura kwa hasira na jiwe hili la gizani? Wanajua kuwa kimsingi hiyo ndiyo habari yenyewe.

Msajili na akuje na mkwara mwingine.
 
Sasa Membe naye unaweza ukashangilia kweli alifanya kampeni kwao akapata watu kiduchuuu!! Kama kwao wamemkataa watz wapi watakuwa wanamtaka!!?
Eti "niguse ninuke" matokeo yake kajiozea yeye bila kuguswa
Alafu Zitto Kabwe ana akili sana dogo yule
Alivyojionea watu kiduchu kwenye uzinduzi wa kampeni
Akaona lol hapa nimelamba garasa
 
Membe ni mgombea wa kwanza toka nchi ipate Uhuru kuteuliwa na chama na kupitishwa na tume ya uchaguzi halafu akaingia mitini kutokomea gizani !!
Membe ni mbahili kaona kuliko kupoteza hela zake bure kwa kitu ambacho ahakipo ni bora akae alee wajukuu!

Membe alifikiri ule ushabiki wa mitandaoni akija field atakuwa vile vile?
 
Hongera sana kamanda Membe tupo pamoja mkuu!
 
Fake account. Account ya Membe haina R kati ya e na n
 
Membe ni mgombea wa kwanza toka nchi ipate Uhuru kuteuliwa na chama na kupitishwa na tume ya uchaguzi halafu akaingia mitini kutokomea gizani !!
Ndio uelewe kuwa Lissu ndio atakua mgombea wakwanza tangia kupata uhuru kutoka upinzani kushika dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…