ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 219
Yeah true true!! Hapo sifa kachukua !!
kama ingekuwa mechi mimi leo ningesema mheshimiwa mbowe ni man of the match
Yeah true true!! Hapo sifa kachukua !!
watu wengine bana, hatukatai kumpongeza mtu lakin ni vizuri unapoandika thread kama hii useme kafanya kitu gani kizuri ili na wengine ambao hawakuona au kuskia hicho alichofanya wanufaike kupitia post yako!!
Hasifiwagi huyo. Subiri sasa hivi ataharibu.
Hahahahahahahaaaa!
Umekremu Mkuu!
Hasifiwagi huyo. Subiri sasa hivi ataharibu.
Sasa kwani kuna kitu mle kichwani mwake! Subiri tu,.
BUSARA gani hizo? tueleze na sisi tujue! wengi tunafahamu kuwa MBOWE hana Busara hata tone!leo bunge la katiba limeanza hivyo kutokana na bunge ilo kukosa kanuni za kuliongoza hivyo kumefanyika uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa muda sasa kuna tatizo limetokea bungeni wajumbe waliotakiwa kupiga kura ambao walihesabiwa walikuwa kama 568 baada ya kula kupigwa zikapitiliza mpaks 587 hapo ndiyo wajumbe wakaanza kubwabwanya kila mmoja na yake sasa hapo mh mbowe akatumia busara kubwa sana kulituliza bunge hilo.
BUSARA gani hizo? tueleze na sisi tujue! wengi tunafahamu kuwa MBOWE hana Busara hata tone!