ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 219
Bunge la katiba limeanza leo jioni hii,na kulitokea dosari kubwa katika utaratibu wa kupiga kura ili mwenyekiti wa muda achaguliwe,binafsi kwa roho safi na bila ushabiki wa vyama napenda nimshukuru mheshimiwa huyu kwa mchango wa maoni mazuri ambayo yameleta utaratibu unaofaa ambao umetuliza rabsha na sasa mambo yanaenda vizuri wajumbe wametulia wanapiga kura hii ni dalili njema kwamba hatutegemei mambo yataharibika kwakuwa zimeonekana dalili za maelewano na kusikilizana