Hongera zake,Diamond yeye kila mwaka anabadilisha papuchi tu
Habari wanabodi,
Mtangazaji wako wa nguvu,Millard Ayo mfanyakazi wa Clouds Fm kipindi cha Amplifier amefungua studio kubwa ya kisasa iliyomghalimu mamilioni ya shilingi."Ilikuwa si kazi ndogo kuanzisha hii studio ambayo nimeijenga mwaka mmoja kwa kudunduliza kihasi kidogo kidogo ninachokipata" alisema Millard Ayo.
View attachment 228491
View attachment 228492
View attachment 228493
Studio ya radio ina kazi gani?au naye anataka kufungua radio station?
Hongera zake,Diamond yeye kila mwaka anabadilisha papuchi tu
mi natafuta wachawi
ivi Ayo ana dem?
Pengine anataka kujiajili awe anauza tu vipindi vyake kwenye radio
Demu wake si wewe?
ha ha ha haaa..! Nao wana aibu mkuu. Atakae jitokeza hapa ana moyo wa chuma.