Hongera Millard Ayo: Afungua Kituo cha kurusha mawimbi ya redio

Hongera Millard Ayo: Afungua Kituo cha kurusha mawimbi ya redio

Habari wanabodi,

Mtangazaji wako wa nguvu,Millard Ayo mfanyakazi wa Clouds Fm kipindi cha Amplifier amefungua studio kubwa ya kisasa iliyomghalimu mamilioni ya shilingi."Ilikuwa si kazi ndogo kuanzisha hii studio ambayo nimeijenga mwaka mmoja kwa kudunduliza kihasi kidogo kidogo ninachokipata" alisema Millard Ayo.

View attachment 228491
View attachment 228492
View attachment 228493

Bado sijaelewa hapa no Studio au no kituo cha

Radio...na ni Radio inaitwaje?
 
Pengine anataka kujiajili awe anauza tu vipindi vyake kwenye radio

Kwani hizo radio stations hazina studio zao za kutengeneza vipindi mpka watafute mtu wa kufanya. Mimi nadhani hii haikakaa clear, anayejua atujuze kafungua studio au radio station? Kama ni radio studio kazi yake ni nini? Na je zipo nyingine hapa bongo au hiyo ndo ya kwanza?
 
Hongera mkuu....nitakuja uniajiri,mie ni mwana bongo fleva,nataka kutoa singo yangu by june,mistari nishaiba hahahaaaa cc;@matumbo
 
Millard ana akili sana. Anafanya vitu kwa mipango, kwa nini asiwe anamshauri jokate shost wake. Maana jokate linakurupuka likidhani ni sifa. Safi sana Millard ayo, hayo ndiyo maendeleo.
 
Back
Top Bottom