Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Zipo nyingi sana
Wanatengeneza vipindi wanaviuza kwa radip na stesheni za Televisheni
mfano PPT ya/na Paschal Mayala
ngoja nikuitie huyu mtu akueleweshe vizur kabisa
Pasco ukuje!!
Kuna mtu anafahamu id ya Ahmed Kipozi (mheshimiwa DC nae ndo khabari zake hizi)
Maria Sarungi Tsehai nae huwa anaandaa vipindi kwa mrengo huu
So Millard big uuuuup dogo!!
Hao wanaosema sijui nini sijui nini wambie wakafanye na wao hizo sijui nini.sijui nini kama ni rahisi kufika hapo ulipofikia!!
Kwa anayewajua hao maguru wa habar i niliowatajai anaweza kuelewa kwann tunampongeza huyu dogo
Snowhite na Corleone, ni kweli yule jamaa yangu wa PPR, anatengeneza vipindi vya redio, TV na matangazo na kuvirusha vituo mbalimbali vya redio na TV. Bongo tuna production houses nyingi sana, na watangazaji wakongwe karibu wengi tunajitegemea!.Pasco huwa unakujaga huku,?
TCRA walipoyatangaza makampuni 4 tuu ndio yatakayorusha digital signals za TV, yaani multiplex operators ambao ni Star Media wenye king'amuzi cha Star times, Agape Associates wenye king'amuzi cha Ting, ITV yenye kingamuzi cha Star TV yenye king'amuzi cha continental, tulidhani sasa ndio unafuu, na TCRA wakaweka gharama za kurusha matangazo kwa saa nzima kwa mwezi mzima ni US $ 3,000 tuu, hivyo kila production house ingeweza kurusha channel yake!, kumbe tumepigwa changa la macho!, ili kurusha matangazo kwenye hivyo ving'amuzi lazima uyafikishe mwenyewe kwenye satelite ndipo wao wa pick na kukurushia!, hivyo wengi tunashindwa!, tumebakia kuwapelekea vipindi tuu na kuwalipa wao wavirushe tena bei ya juu.
Kitendo alichokifanya dogo Millard Ayo ni cha kustahili pongezi sana!.
Pasco