Hongera mkuu wa shule ya sekondari Migungani-Bunda

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Ukifika shule hii unaweza fikiria ni private kwa jinsi walivyoipangilia! Namna tu walivyopanda maua, usafi na nidhamu kwa ujumla utabaini walimu wapo kitimu zaidi na hawana mgawanyiko!

Well done Headmaster,Mr Boaz!

Well done Migungani secondary school, the heaven of Bunda!
 
Bila picha itaonekana kama umbea tu.
 
Ushahidi wa picha ni muhimu mkuu [emoji3]
 
[emoji848][emoji848][emoji848]unataka uteuzi mkuu
 
Back
Top Bottom