Naomba sana siku hii churchill ifike tanzania ,jamaa wako so funny ,hata hivyo you tube niliona ya mwaka mpya wameahidi hii 2017 kuja tz ,wafike na Arusha kwa mikoa wanayotegemea kuitembelea
Kwenye hiyo move, naomba asikosekane Eunice Mamitto,maana huyu yuko talented sana kwenye comedyMkuu wanafungua branch tz ndio ile ya mwaka mpya palikua Na timu ya watanzania kwa hivyo mipango mipango
Kwenye hiyo move, naomba asikosekane Eunice Mamitto,maana huyu yuko talented sana kwenye comedy
Hata mimi natokeanga huko Nayii johhh...pande zile za Girigiri....tunaweza connectWakenya mko watu funny sana. I like kenyan's sense of humour... the omondis... the mamitos etc etc.