Hongera Mkuu

Hongera Mkuu

Hehehe! Asante, niliona hata Bongo wameanza stand up commedy, kuna yule jamaa wa kutokea Dodoma anaitwa MC Kipilipili hunichekesha sana, kuna siku nimeona wamefanya collabo na Eric Omondi.
 
Wakenya mko watu funny sana. I like kenyan's sense of humour... the omondis... the mamitos etc etc.
 
Naomba sana siku hii churchill ifike tanzania ,jamaa wako so funny ,hata hivyo you tube niliona ya mwaka mpya wameahidi hii 2017 kuja tz ,wafike na Arusha kwa mikoa wanayotegemea kuitembelea
 
Naomba sana siku hii churchill ifike tanzania ,jamaa wako so funny ,hata hivyo you tube niliona ya mwaka mpya wameahidi hii 2017 kuja tz ,wafike na Arusha kwa mikoa wanayotegemea kuitembelea

Mkuu wanafungua branch tz ndio ile ya mwaka mpya palikua Na timu ya watanzania kwa hivyo mipango mipango
 
Kuna dogo mmoja chokoraa damu anaitwa MC tricky! Huyu dogo ni tricky saana.

Obinna, mamitto, Mzee mathenge, prof Hammo, Kiukweli Wakenya wamepiga saana hatua kwenye stand up comedy.

Very comic, funny and with great presenting techniques.
 
jamaican musician alaine in churchill show
Churchill-TV-Show.jpg

alaine-2.jpg

ch2.jpg

morgan heritage
12115946_10153535712776815_3762422075184939297_n-e1446105061335.jpg
 
Back
Top Bottom