Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina nani sasa?Ngoja waje kukupa muongozo
Kwakweli sitakuwa mwenye fadhila Kama sitafunga na kufungua mwaka 2020 kwa kumshukuru mkwepu Jr kwa kunipa Mimi binafsi likes na members wote humu.
Nakiri kusema Kama mkwepu Jr hajakupa like basi wewe una mkosi gundu na nux!!
Asante mkwepu Jr
Labda mwongozo wa kwenda paradise "nchi ya ahadi"[emoji28]Kuna mwingine anajiita mjr95 yeye kila uzi anakomaa na ngoja waje kukupa muongozo, huyu jamaa nimeshidwa kumuelewa kabisa.
Members wa jf tuko 500,000 Kama Kuna mtu hajapewa likes na huyu mwana nzengo aje aseme hapa.
Kwakweli sitakuwa mwenye fadhila Kama sitafunga na kufungua mwaka 2020 kwa kumshukuru mkwepu Jr kwa kunipa Mimi binafsi likes na members wote humu.
Nakiri kusema Kama mkwepu Jr hajakupa like basi wewe una mkosi gundu na nux!!
Asante mkwepu Jr
Mie notifikesheni ya likes niliitoa, kupunguza msongamano. NImeacha ya watu walio ni quote au kuni mention
Likes tell a lot aisee
Kina nani sasa?
Likes tell a lot aisee
Inaonyesha ulichoandika ni sensible na kinagusa jamii au ni pumba.
Pili unaheshimika au la jf; likes define your social status pia.
Kwenye points zako inaonyesha pia toka ujiunge jf umepata likes ngapi Kuna watu wana mpaka milioni likes ni Kama kafuraha flan hivi !!