Sema wewe yaani nikiwekwa naye mimi naweza kuambiwa Baba yangu. π€£π€£π€£hahahaahaha haya mambo hayo okwi kama ana miaka michache ni 34
Hapa umenena. Sijui wanapata raha gani wakati nyuso tayari huwa zinazungumza.Miaka ya Okwi Itakuwa iliganda Kama ya Madame Wema Sepetu ambae mpaka leo anaadhimisha kutimiza Miaka 26 Kwa Miaka nane Mfululizo
Ukistaajabu ya Musa, utayaona ya OkwiiAlizaliwaje dec 05 halafu birthday yake iwe leo dec 25?
Tunisia kule alishindwa wakamrudisha!Miaka ni namba tu kikubwa majukumu yao wanayafanya kwa ufanisi. Hilo ndo la msingi
πππbadala ya 36[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kagere utaambiwa ana 26 mwakani
Mkuu naomba unisaidie, Okwi alisajiliwa na kuanza kuitumikia klabu ya simba mwaka gani? Ili nifahamu wakati alikuwa ana umri gani ukitoa na hii miaka yake 26.Nop! Ni 26 note; Emanuel Arnold Okwi alizaliwa December 25, 1992. Kwa mantiki hiyo; mshambiaji huyo wa kimataifa wa Uganda amefikisha umri wa miaka 26 kwa sasa.
Utasikia Kaseja nae kafanya birthday party katimiza 24 yrs waafrica bhana Boban nae formula yake Yanga inaonesha ana miaka 31[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kawaida wachezaji wa kiafrica kudanganya umri Okwi ana 32+ Kager 34+ lakini kama wanafanya majukumu yao haina shida
Hahaha awajielewi..tu ukwel umri wao umeenda hata speed ya okwi ya kukumbia hamna kitu.sio okwi yule[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kagere utaambiwa ana 26 mwakani
Yondani, tambwe, kamusoko, ngassa, boban etc.Ni kawaida wachezaji wa kiafrica kudanganya umri Okwi ana 32+ Kager 34+ lakini kama wanafanya majukumu yao haina shida
Hahaha!!!Mbona Beno kakolanya ana 23 years lakin hamsemi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kagere ana 42,hiyo 36 umempunguzia sana mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]badala ya 36
Unapima zinjathropas au[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani Africa raha sana.
Tutaweka Carbon 14 ya mifupa kujua umri wake halisi.
ππππKagere ana 42,hiyo 36 umempunguzia sana mkuu
Daaah [emoji23][emoji23]Ana 42 huyo kama Kagere.
Kama kweli anatimiza miaka 28 basi ni dhahiri alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka mitatu , hongera sana wazazi wake
HaaaaKama kweli anatimiza miaka 28 basi ni dhahiri alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka mitatu , hongera sana wazazi wake
Mikia FC at their best.Boban,Tambwe,Yondani,Ngassa na Kamusoko wana miaka 19.
Mapopoma at their best.Juzi mmoja kacheza dakika 25 ulimi nje ikabidi asingizie injury tena na Tukuyu.