Hongera Mnyama Emanuel Okwi kwa kufikisha miaka 28

Hongera Mnyama Emanuel Okwi kwa kufikisha miaka 28

Nop! Ni 26 note; Emanuel Arnold Okwi alizaliwa December 25, 1992. Kwa mantiki hiyo; mshambiaji huyo wa kimataifa wa Uganda amefikisha umri wa miaka 26 kwa sasa.
Mkuu naomba unisaidie, Okwi alisajiliwa na kuanza kuitumikia klabu ya simba mwaka gani? Ili nifahamu wakati alikuwa ana umri gani ukitoa na hii miaka yake 26.
 
Ni kawaida wachezaji wa kiafrica kudanganya umri Okwi ana 32+ Kager 34+ lakini kama wanafanya majukumu yao haina shida
Utasikia Kaseja nae kafanya birthday party katimiza 24 yrs waafrica bhana Boban nae formula yake Yanga inaonesha ana miaka 31[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Boban,Tambwe,Yondani,Ngassa na Kamusoko wana miaka 19.
Mapopoma at their best.Juzi mmoja kacheza dakika 25 ulimi nje ikabidi asingizie injury tena na Tukuyu.
 
Back
Top Bottom