[emoji2] [emoji2] iiKama kweli anatimiza miaka 28 basi ni dhahiri alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka mitatu , hongera sana wazazi wake
Okwi wanasema kazaliwa 1992 kwa hiyo ana miaka 26 mkuuTangu nasoma hadi namaliza chuo okwi ana miaka 28....yupo.kama ngasa vilee
Kagere ana 42,hiyo 36 umempunguzia sana mkuu
Hata zaidiAna 42 huyo kama Kagere.
Hawa jamaa wamefuata mafao ya uzeeni mikia,hlf wanawadanganya wapo under 30 wakati wako 42 huko!
😁😁😁 hayalipwi kwa only 25percentHawa jamaa wamefuata mafao ya uzeeni mikia,hlf wanawadanganya wapo under 30 wakati wako 42 huko!
loooll loolll.....Miaka mingapi?View attachment 978449
Mara ya kwanza kasajiliwa2008 akitoka Sc villaMkuu naomba unisaidie, Okwi alisajiliwa na kuanza kuitumikia klabu ya simba mwaka gani? Ili nifahamu wakati alikuwa ana umri gani ukitoa na hii miaka yake 26.
Kwa hiyo alikuja kucheza simba soka,la kulipwa akiwa na miaka 16? na huko Uganda alianza kuichezea sc villa tuseme akiwa na miaka 13 au 14 hivi. Kwa mpira wa kiafrika kitu kama hicho hakiwezekani kabisa bora ibgekuwa miaka hii kuanzia 2010 na kuendelea kwa sababu kuna Academy nyingi.Mara ya kwanza kasajiliwa2008 akitoka Sc villa
Mkuu ukistaajabu ya Musa utayaona ya OkwiKwa hiyo alikuja kucheza simba soka,la kulipwa akiwa na miaka 16? na huko Uganda alianza kuichezea sc villa tuseme akiwa na miaka 13 au 14 hivi. Kwa mpira wa kiafrika kitu kama hicho hakiwezekani kabisa bora ibgekuwa miaka hii kuanzia 2010 na kuendelea kwa sababu kuna Academy nyingi.
Okwi wakati anasajiliwa na simba kwa Mara ya kwanza akitokea Sc Villa ya Uganda alikuwa na miaka 17 na alikuwa akicheza timu ya U- 17 ya Uganda, hiyo ilikuwa mwaka 2009 sasa kwa wanaojua hesabu na hisabati watatupa majibu sahihi juu ya umri wa kijana huyu machachari kwenye kandanda.Mara ya kwanza kasajiliwa2008 akitoka Sc villa