Hongera Mnyama Emanuel Okwi kwa kufikisha miaka 28

Hongera Mnyama Emanuel Okwi kwa kufikisha miaka 28

Miaka mingapi?
IMG-20181226-WA0013.jpg
 
Mkuu naomba unisaidie, Okwi alisajiliwa na kuanza kuitumikia klabu ya simba mwaka gani? Ili nifahamu wakati alikuwa ana umri gani ukitoa na hii miaka yake 26.
Mara ya kwanza kasajiliwa2008 akitoka Sc villa
 
Didier Drogba ana miaka 40 ila anaonekana bado "baby" as compared na Okwi mwenye "28 years". Haya maajabu hutokea Uganda na Tanzania tu. Sijui kwa nini wachezaji wanabehave kama mamiss when it comes to umri?
 
Kama alisajiliwa na simba 2008 ukitoa 2018 maana yake kuna miaka 10 imepita so ukitoa 26-10 hivyo alisajiliwa akiwa na umri wa miaka 16 kipind hicho
 
Mara ya kwanza kasajiliwa2008 akitoka Sc villa
Kwa hiyo alikuja kucheza simba soka,la kulipwa akiwa na miaka 16? na huko Uganda alianza kuichezea sc villa tuseme akiwa na miaka 13 au 14 hivi. Kwa mpira wa kiafrika kitu kama hicho hakiwezekani kabisa bora ibgekuwa miaka hii kuanzia 2010 na kuendelea kwa sababu kuna Academy nyingi.
 
Mkuu ukistaajabu ya Musa utayaona ya Okwi
 
Mara ya kwanza kasajiliwa2008 akitoka Sc villa
Okwi wakati anasajiliwa na simba kwa Mara ya kwanza akitokea Sc Villa ya Uganda alikuwa na miaka 17 na alikuwa akicheza timu ya U- 17 ya Uganda, hiyo ilikuwa mwaka 2009 sasa kwa wanaojua hesabu na hisabati watatupa majibu sahihi juu ya umri wa kijana huyu machachari kwenye kandanda.
 
Back
Top Bottom