Hongera Mnyama, tumefuzu robo fainali lakini bado timu yetu ina changamoto nyingi kiuchezaji

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Jana nimefurahi sana, sana, sana tena baada ya kuwaona friends of Simba wakiwepo uwanjani na kuunganisha umoja wetu, tumeshinda bao 7 0 dhidi y Horoya ambayo tangu kwao walionyesha uwezo mdogo sana, Simba ilitakiwa ishike nafasi ya kwanza katika kundi hili kama ingeipiga Horoya nyumbani kwako kwenye first round.

Pamoja na ushinda, nina ushauri kwa viongozi wa Simba.

1. Horoya tumewafungq bao 7, well and good lkn to be honest, Horoya wachovu sana.

2.Timu yetu inafanya sana makosa ambayo jana yalionekana mengi tu ila kwa sabu tumeshinda hakuna anayezungumia.Beki inakatika sana, tabia ya wachezaji kurudisha mipira kwa kipa mara kwa mara wakati mbele kuna mawinga wanaomba waletewe inakera sana, Onyango hana control, akianziwa na Manula kila mtu anashika mdomo wazi, mabeki na viungo hawana ushirikiano kabisa

3.Mechi na Raja tuende tukajifunze namna ya kukabiliana na aidha Mamelodi U Esperance au Wydad kwenye robo fainal, tuitumie mechi hiyo kutengeneza mbinu ya kupambana robo fainal.

4.Ukweli ni mchungu lkn hapo robo fainal kwa timu yetu hii tumefika mwisho, siridhishwi kabisa na mfumo wa uchezaji wa timu yetu.Kwa uchezaji ule kuna timu inaweza kutupiga saba hata sisi, sitoshangaa.

5.Kila heri mnyama, nakupenda ndio maana nmekwambia ukweli.Jana sikulala home kwa ajili ya kushangilia ushindi, bando la elfu 20 limeisha kuangalia marudio ya game ya jana.
 
Ukweli ni kwamba chama letu ni bovu haswa midfielder, waoga kupiga pasi za kuposesi mpira, pasi za mbele mtihani kwao, wale watu wa mbele wakiongozwa na chama ni msaada mkubwa saana kwetu.. midfield yetu inavyocheza unabaki kutikisa kichwa kwa huzuni tu.
 
Watu wakweli kama wewe hamtakiwi Tanzania.

Kwenye robo fainali ndio watu watakubali hili ulichoandika, maana ukikutana na timu kama Mamelodi Sundowns uchawi hauna nafasi wanakupiga nje ndani.

Robo fainali ni quality ya timu tu na wachezaji ndio inaamuwaga washindi wa kusonga mbele.
 
Acheni makasiriko hatujawatuma kucheza kombe la losers.
 
Watu wakweli kama wewe hamtakiwi Tanzania.

Kwenye robo fainali ndio watu watakubali hili ulichoandika, maana ukikutana na timu kama Mamelodi Sundowns uchawi hauna nafasi wanakupiga nje ndani.

Robo fainali ni quality ya timu tu na wachezaji ndio inaamuwaga washindi wa kusonga mbele.
Tumewazoea watu msio na shukrani. Kila siku kupick mapungufu tu. Ninyi ya kwenu mmeyaweza yote? Au mnadhani wale ni malaika? Tangu kufuzu makundi ni kubeza tu. Sasa hivi kila shabiki andazi kawa kocha, hovyo! Hata wakiishia robo fainali sisi mashabiki wa ukweli hatuna cha kuwadai.
 
Jana nimefurahi sana, sana, sana tena baada ya kuwaona friends of Simba wakiwepo uwanjani na kuunganisha umoja wetu, tumeshinda bao 7 0 dhidi y Horoya ambayo tangu kwao walionyesha uwezo mdogo sana, Simba ilitakiwa ishike nafasi ya kwanza katika kundi hili kama ingeipiga Horoya nyumbani kwako kwenye first round.

Pamoja na ushinda, nina ushauri kwa viongozi wa Simba.

1. Horoya tumewafungq bao 7, well and good lkn to be honest, Horoya wachovu sana.

2.Timu yetu inafanya sana makosa ambayo jana yalionekana mengi tu ila kwa sabu tumeshinda hakuna anayezungumia.Beki inakatika sana, tabia ya wachezaji kurudisha mipira kwa kipa mara kwa mara wakati mbele kuna mawinga wanaomba waletewe inakera sana, Onyango hana control, akianziwa na Manula kila mtu anashika mdomo wazi, mabeki na viungo hawana ushirikiano kabisa

3.Mechi na Raja tuende tukajifunze namna ya kukabiliana na aidha Mamelodi U Esperance au Wydad kwenye robo fainal, tuitumie mechi hiyo kutengeneza mbinu ya kupambana robo fainal.

4.Ukweli ni mchungu lkn hapo robo fainal kwa timu yetu hii tumefika mwisho, siridhishwi kabisa na mfumo wa uchezaji wa timu yetu.Kwa uchezaji ule kuna timu inaweza kutupiga saba hata sisi, sitoshangaa.

5.Kila heri mnyama, nakupenda ndio maana nmekwambia ukweli.Jana sikulala home kwa ajili ya kushangilia ushindi, bando la elfu 20 limeisha kuangalia marudio ya game ya jana.
Simba ipo vizuri kabisa, kwa kiwango cha uwekezaji wake na aina ya mashindano ambayo Simba ipo( club champions League).
Issue ya mabeki kutokuwa imara ni suala la Dunia nzima( human being has a room to make mistakes).
Na issue ya SIMBA kuishia robo fainali haijaanza Leo( Nafasi kubwa ya kutinga nusu fainali tuliipata tulipocheza na Kaizer chiefs. Lakini katika soka lolote linaweza kutokea).
Hatahivyo, ushindi wa mabao 7-0 unaonesha kuwa timu ipo vizuri.( Katika soka bahati pia ipo, Zamaleki aliwahi kutolewa na SIMBA, Kwahiyo lolote linaweza kutokea).
Kwasababu, hata hatua hii ambayo Simba imefika ilikuwa haidhaniwi kabisa Toka mwanzo wa mashindano ( FIKIRIA, timu inaazima kocha, lakini inapata matokeo).
 
Jana nimefurahi sana, sana, sana tena baada ya kuwaona friends of Simba wakiwepo uwanjani na kuunganisha umoja wetu, tumeshinda bao 7 0 dhidi y Horoya ambayo tangu kwao walionyesha uwezo mdogo sana, Simba ilitakiwa ishike nafasi ya kwanza katika kundi hili kama ingeipiga Horoya nyumbani kwako kwenye first round.

Pamoja na ushinda, nina ushauri kwa viongozi wa Simba.

1. Horoya tumewafungq bao 7, well and good lkn to be honest, Horoya wachovu sana.

2.Timu yetu inafanya sana makosa ambayo jana yalionekana mengi tu ila kwa sabu tumeshinda hakuna anayezungumia.Beki inakatika sana, tabia ya wachezaji kurudisha mipira kwa kipa mara kwa mara wakati mbele kuna mawinga wanaomba waletewe inakera sana, Onyango hana control, akianziwa na Manula kila mtu anashika mdomo wazi, mabeki na viungo hawana ushirikiano kabisa

3.Mechi na Raja tuende tukajifunze namna ya kukabiliana na aidha Mamelodi U Esperance au Wydad kwenye robo fainal, tuitumie mechi hiyo kutengeneza mbinu ya kupambana robo fainal.

4.Ukweli ni mchungu lkn hapo robo fainal kwa timu yetu hii tumefika mwisho, siridhishwi kabisa na mfumo wa uchezaji wa timu yetu.Kwa uchezaji ule kuna timu inaweza kutupiga saba hata sisi, sitoshangaa.

5.Kila heri mnyama, nakupenda ndio maana nmekwambia ukweli.Jana sikulala home kwa ajili ya kushangilia ushindi, bando la elfu 20 limeisha kuangalia marudio ya game ya jana.
Umeongea ukweli ambao simba lia lia hawawezi kuelewa
 
Ukweli ni kwamba chama letu ni bovu haswa midfielder, waoga kupiga pasi za kuposesi mpira, pasi za mbele mtihani kwao, wale watu wa mbele wakiongozwa na chama ni msaada mkubwa saana kwetu.. midfield yetu inavyocheza unabaki kutikisa kichwa kwa huzuni tu.
Kwani ID zote Gentamycine na Minocycline zote zimefungiwa?
Inawezekana, ana lugha ya maudhi sana. Napia hupenda kutoa tuhuma nzito asizoweza kuthibitisha hasa upande wa soka.
 
Simba inapiga back pass nyingi pasinasababu.iyo shida ipo tena kubwa na nitatizo hilo.iyo tabia kwa timu za kaskazini awakuponeshi watakufunga tu.
 
Ukweli ni kwamba chama letu ni bovu haswa midfielder, waoga kupiga pasi za kuposesi mpira, pasi za mbele mtihani kwao, wale watu wa mbele wakiongozwa na chama ni msaada mkubwa saana kwetu.. midfield yetu inavyocheza unabaki kutikisa kichwa kwa huzuni tu.
Acha ushabiki maandazi kwani ndivyo soka ilivyo. Unadhani wale ni maroboti au malaika wasiofanya makosa? Tangu kufuzu makundi kazi yenu imekuwa ni kubeza tu kama vile mnachangia chochote katika usajili. Hakuna lolote mnalojua zaidi ya kuwavunja moyo wachezaji na waliowekeza katika soka. Simba wakiishia robo ni sawa tu kwani mpaka hapo ni mafanikio makubwa. Vinginevyo tusubiri wewe utuletee wachezaji kutoka katika sayari yako wasiofanya makosa.
 
Hakuna timu iliyo perfect.Kutilia mkazo kwenye mapungufu ni jambo la kawaida kwa mashabiki wasioridhika.Man City anafungwa na kuna mechi anacheza vibaya licha ya investment yao kubwa.
Simba kwa investment ya sasa hivi wanastahili pongezi.Kwani kwa muda wa miaka 6 wamecheza robo fainali 4.Tatu za Champions league na moja ya Shirikisho.
Maendeleo ni process na katika kutofaulu kwenye malengo ndio kuna kujifunza.
Man City na Arsenal pamoja na kufanikiwa kote hazijawahi kuchukua UEFA Champions league.Ina maana timu zao ni mbovu?
 
Ukweli ni kwamba chama letu ni bovu haswa midfielder, waoga kupiga pasi za kuposesi mpira, pasi za mbele mtihani kwao, wale watu wa mbele wakiongozwa na chama ni msaada mkubwa saana kwetu.. midfield yetu inavyocheza unabaki kutikisa kichwa kwa huzuni tu.
Ila kweli wanapenda kurudisha mpira nyuma, aaaah

Lakini nna raha mnoo kipenzii changuu Kanoutee kufunga goal 2.

Yaan alivyofunga lile LA shuti LA mbali, nlinyanyuka na kuzunguka sebuleni km chiziiiiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wakweli kama wewe hamtakiwi Tanzania.

Kwenye robo fainali ndio watu watakubali hili ulichoandika, maana ukikutana na timu kama Mamelodi Sundowns uchawi hauna nafasi wanakupiga nje ndani.

Robo fainali ni quality ya timu tu na wachezaji ndio inaamuwaga washindi wa kusonga mbele.
Hangaika na utopoloo yakoo, mbna nyie hata makundi hamjagusaa, na mnajidai mko vizuri, lol.

Pambaneni na kombe LA losers, huku kwa wakubwa hakuwahusu. Tumeingia Robo hata tukitoka hatuna cha kuwadai wachezaji na bench LA ufundi.

Poleeeeee kwa kutesekaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tukutane Robo Fainali ....Thimba ajipange zaidi awamu ijayo team zote motoooo
 
Hangaika na utopoloo yakoo, mbna nyie hata makundi hamjagusaa, na mnajidai mko vizuri, lol.

Pambaneni na kombe LA losers, huku kwa wakubwa hakuwahusu. Tumeingia Robo hata tukitoka hatuna cha kuwadai wachezaji na bench LA ufundi.

Poleeeeee kwa kutesekaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Attachments

  • FB_IMG_1679219324288.jpg
    FB_IMG_1679219324288.jpg
    16 KB · Views: 2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilkua hatua ipi?? Hata CAF hawaijuii
Mmevurugwaaa mbayaaa. Uwiiiiiiiih
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom