Hongera Mnyama, tumefuzu robo fainali lakini bado timu yetu ina changamoto nyingi kiuchezaji

Hongera Mnyama, tumefuzu robo fainali lakini bado timu yetu ina changamoto nyingi kiuchezaji

Sawaa mchambuzii...nimeshalinote nitawafikishia
 
Hivi hao friends of Simba ndo kina nani?? Msaada kwenye tuta
 
Simba ipo vizuri kabisa, kwa kiwango cha uwekezaji wake na aina ya mashindano ambayo Simba ipo( club champions League).
Issue ya mabeki kutokuwa imara ni suala la Dunia nzima( human being has a room to make mistakes).
Na issue ya SIMBA kuishia robo fainali haijaanza Leo( Nafasi kubwa ya kutinga nusu fainali tuliipata tulipocheza na Kaizer chiefs. Lakini katika soka lolote linaweza kutokea).
Hatahivyo, ushindi wa mabao 7-0 unaonesha kuwa timu ipo vizuri.( Katika soka bahati pia ipo, Zamaleki aliwahi kutolewa na SIMBA, Kwahiyo lolote linaweza kutokea).
Kwasababu, hata hatua hii ambayo Simba imefika ilikuwa haidhaniwi kabisa Toka mwanzo wa mashindano ( FIKIRIA, timu inaazima kocha, lakini inapata matokeo).
Kwaiyo mnakwenda robo fainali kwa kutegemea bahati ndio iwabebe? Iyo bahati itakaa iko kwenu tu na sio kwa mpinzani, mnaambiwa mapungufu mrekebishe we umekariri habari za bahati!!! Uyo jamaa kanena ukweli goli 7 mlizowafunga horoya mkizitumia kuwa ndio kipimo cha uimara wa timu yenu bila kurekebisha mapungufu yenu cha moto kinawasubilia, Horoya walioneķana ni timu dhaifu kuanzia mechi ya kwanza kule kwao kwa maana iyo kujipima kwa mbovu na kujiona uko timamu ni kujitafutia kiama
 
Jana nimefurahi sana, sana, sana tena baada ya kuwaona friends of Simba wakiwepo uwanjani na kuunganisha umoja wetu, tumeshinda bao 7 0 dhidi y Horoya ambayo tangu kwao walionyesha uwezo mdogo sana, Simba ilitakiwa ishike nafasi ya kwanza katika kundi hili kama ingeipiga Horoya nyumbani kwako kwenye first round.

Pamoja na ushinda, nina ushauri kwa viongozi wa Simba.

1. Horoya tumewafungq bao 7, well and good lkn to be honest, Horoya wachovu sana.

2.Timu yetu inafanya sana makosa ambayo jana yalionekana mengi tu ila kwa sabu tumeshinda hakuna anayezungumia.Beki inakatika sana, tabia ya wachezaji kurudisha mipira kwa kipa mara kwa mara wakati mbele kuna mawinga wanaomba waletewe inakera sana, Onyango hana control, akianziwa na Manula kila mtu anashika mdomo wazi, mabeki na viungo hawana ushirikiano kabisa

3.Mechi na Raja tuende tukajifunze namna ya kukabiliana na aidha Mamelodi U Esperance au Wydad kwenye robo fainal, tuitumie mechi hiyo kutengeneza mbinu ya kupambana robo fainal.

4.Ukweli ni mchungu lkn hapo robo fainal kwa timu yetu hii tumefika mwisho, siridhishwi kabisa na mfumo wa uchezaji wa timu yetu.Kwa uchezaji ule kuna timu inaweza kutupiga saba hata sisi, sitoshangaa.

5.Kila heri mnyama, nakupenda ndio maana nmekwambia ukweli.Jana sikulala home kwa ajili ya kushangilia ushindi, bando la elfu 20 limeisha kuangalia marudio ya game ya jana.
Bando la 20k liishe kwa ajili ya marudio??acha uongo dhambi nyingine zinaepukika mbona
 
Ukweli ni kwamba chama letu ni bovu haswa midfielder, waoga kupiga pasi za kuposesi mpira, pasi za mbele mtihani kwao, wale watu wa mbele wakiongozwa na chama ni msaada mkubwa saana kwetu.. midfield yetu inavyocheza unabaki kutikisa kichwa kwa huzuni tu.
Wanapiga sana 'back pass' hata timu ikiwa kwenye flow nzuri ya kushambulia....huu umekuwa ugonjwa kabisa.
 
Simba akipania mechi hata man city yangu inaweza kukaa,japo kweli hakuna timu ina ufanisi 100%ni suala la kawaida sana,kuhusu onyango jana sijaona shida yoyote kwake jana mzee alijitoa sana mpaka nikawa namuonea huruma asee...imagine kuna mpira ulipigwa na wankoye ndani ya box,ilikuwa liwe goli ila jamaa aliblock kwa mbavu sa sjui hakuumia manake aliinuka tu kama hakijatokea kitu.

Kanoute jana alikuwa mtamu sana mbali na kufunga,jamaa alifanya kazi kubwa sanaaaaaaaaaa,jamaa alikuwa anakaba mpka kwenye kwenye 18 huko.

Saidoo alikuwa anaitaka sana mechi ya jana,alikuwa na uchu sana wa mabao ndo mana alikuwa anajaribu sana ila bahati haikuwa kwake.

Kibu,was 100% perfect jana,KIBU ATASALIA KUWA CHAGUO LA KOCHA YOYOTE ATAYEPITA SIMBA,anakazi kubwa sana yule jamaa,anapandisha timu,anakaba anapress ,kibu ni superb sana(sema mashabiki maandazi huwa wanataka awe anafunga tu).

Baleke,ni jini nadhani angekuwepo nbc tangu mwanzo wa msimu angekuwa na goli hata 17 sahizi.

Mzamiru,hajawahi kumuangusha mwalimu,pasi zake za set pieces huwa ni hatari sana,jana waligawana maeneo yeye na putin,mzamiru hakuwa sana anapanda alimwachia putin coz kupanda na kurudi fasta kunahitaji mapafu ya mbwa sana na pumzi ya kutosha.

Chama,huyu huwa anakera sana hafungi mpaka adhalilishe watu,jamaa linajua soka.nadhani anaenda kuwa mchezaji wa wiki tena kwa mara ya pili.

Manula,savez kadhaa jana,jamaa jana hakutaka kufungwa hata goli moja duuh????

The rest,(inonga,kapombe,zimbwe jr)hawa huna sababu ya kuwaongelea sana coz kila mtu anajua uwezo wao.

Sakho,kaanza kuacha utoto wa kupenda kufunga mwenyewe,anatumia akili sana siku hizi kuliko mihemko.

Timu ya wiki hii ya caf wachezaji wa simba watakuwa,chama,kanoute,baleke na onyango
 
Ndio timu gani hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah mkuu huoni aibu kupost huo utopolo
 
Hivi hao friends of Simba ndo kina nani?? Msaada kwenye tuta
Wakuu wa husda na unafiki na ushirikina na uzandiki na FITINA WA SIMBA,hao wakiamua mechi waikalie chini hakuna timu inaeza chomoka taifa,hata mechi ya raja kufa 3 juzi kati,jamaa waliomba wapewe mechi wafanye yao,mwenyekiti akajifanya kawakazia,kilichowakuta ndo hicho.

Hawa jamaa ni konyo sana usiombe waikalie mechi chini,azim dewji,hassan dalali ni miongoni mwa watu wabad hao.
 
Watu wakweli kama wewe hamtakiwi Tanzania.

Kwenye robo fainali ndio watu watakubali hili ulichoandika, maana ukikutana na timu kama Mamelodi Sundowns uchawi hauna nafasi wanakupiga nje ndani.

Robo fainali ni quality ya timu tu na wachezaji ndio inaamuwaga washindi wa kusonga mbele.
Kama ni ishu ya quality ya wachezaji tu basi Ahly angekuwa anachukua kombe hili kila mwaka

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Watu wakweli kama wewe hamtakiwi Tanzania.

Kwenye robo fainali ndio watu watakubali hili ulichoandika, maana ukikutana na timu kama Mamelodi Sundowns uchawi hauna nafasi wanakupiga nje ndani.

Robo fainali ni quality ya timu tu na wachezaji ndio inaamuwaga washindi wa kusonga mbele.
Uchawi ulitumika jana?
 
Hivi hao friends of Simba ndo kina nani?? Msaada kwenye tuta
Wazee wa fitna usipowapa ganji wanaivuruga timu haifanyi kitu, ndo maana wameyaita kwenye robo fainali.Ni kikundi cha wenye hela za deal na wanaomiliki waganga wachawi haswa.Wakikupania hawakuachi.Wanapaswa kuitwa wachuma simba.
 
Wazee wa fitna usipowapa ganji wanaivuruga timu haifanyi kitu, ndo maana wameyaita kwenye robo fainali.Ni kikundi cha wenye hela za deal na wanaomiliki waganga wachawi haswa.Wakikupania hawakuachi.Wanapaswa kuitwa wachuma simba.
Hii ni kali mnoo
 
Wakuu wa husda na unafiki na ushirikina na uzandiki na FITINA WA SIMBA,hao wakiamua mechi waikalie chini hakuna timu inaeza chomoka taifa,hata mechi ya raja kufa 3 juzi kati,jamaa waliomba wapewe mechi wafanye yao,mwenyekiti akajifanya kawakazia,kilichowakuta ndo hicho.

Hawa jamaa ni konyo sana usiombe waikalie mechi chini,azim dewji,hassan dalali ni miongoni mwa watu wabad hao.
Aiseee...hatari hiii
 
Mbegu jamani.
Screenshot_20230319-084430.jpg
 
Back
Top Bottom