Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Jana nimefurahi sana, sana, sana tena baada ya kuwaona friends of Simba wakiwepo uwanjani na kuunganisha umoja wetu, tumeshinda bao 7 0 dhidi y Horoya ambayo tangu kwao walionyesha uwezo mdogo sana, Simba ilitakiwa ishike nafasi ya kwanza katika kundi hili kama ingeipiga Horoya nyumbani kwako kwenye first round.
Pamoja na ushinda, nina ushauri kwa viongozi wa Simba.
1. Horoya tumewafungq bao 7, well and good lkn to be honest, Horoya wachovu sana.
2.Timu yetu inafanya sana makosa ambayo jana yalionekana mengi tu ila kwa sabu tumeshinda hakuna anayezungumia.Beki inakatika sana, tabia ya wachezaji kurudisha mipira kwa kipa mara kwa mara wakati mbele kuna mawinga wanaomba waletewe inakera sana, Onyango hana control, akianziwa na Manula kila mtu anashika mdomo wazi, mabeki na viungo hawana ushirikiano kabisa
3.Mechi na Raja tuende tukajifunze namna ya kukabiliana na aidha Mamelodi U Esperance au Wydad kwenye robo fainal, tuitumie mechi hiyo kutengeneza mbinu ya kupambana robo fainal.
4.Ukweli ni mchungu lkn hapo robo fainal kwa timu yetu hii tumefika mwisho, siridhishwi kabisa na mfumo wa uchezaji wa timu yetu.Kwa uchezaji ule kuna timu inaweza kutupiga saba hata sisi, sitoshangaa.
5.Kila heri mnyama, nakupenda ndio maana nmekwambia ukweli.Jana sikulala home kwa ajili ya kushangilia ushindi, bando la elfu 20 limeisha kuangalia marudio ya game ya jana.