Kwaiyo mnakwenda robo fainali kwa kutegemea bahati ndio iwabebe? Iyo bahati itakaa iko kwenu tu na sio kwa mpinzani, mnaambiwa mapungufu mrekebishe we umekariri habari za bahati!!! Uyo jamaa kanena ukweli goli 7 mlizowafunga horoya mkizitumia kuwa ndio kipimo cha uimara wa timu yenu bila kurekebisha mapungufu yenu cha moto kinawasubilia, Horoya walioneķana ni timu dhaifu kuanzia mechi ya kwanza kule kwao kwa maana iyo kujipima kwa mbovu na kujiona uko timamu ni kujitafutia kiamaSimba ipo vizuri kabisa, kwa kiwango cha uwekezaji wake na aina ya mashindano ambayo Simba ipo( club champions League).
Issue ya mabeki kutokuwa imara ni suala la Dunia nzima( human being has a room to make mistakes).
Na issue ya SIMBA kuishia robo fainali haijaanza Leo( Nafasi kubwa ya kutinga nusu fainali tuliipata tulipocheza na Kaizer chiefs. Lakini katika soka lolote linaweza kutokea).
Hatahivyo, ushindi wa mabao 7-0 unaonesha kuwa timu ipo vizuri.( Katika soka bahati pia ipo, Zamaleki aliwahi kutolewa na SIMBA, Kwahiyo lolote linaweza kutokea).
Kwasababu, hata hatua hii ambayo Simba imefika ilikuwa haidhaniwi kabisa Toka mwanzo wa mashindano ( FIKIRIA, timu inaazima kocha, lakini inapata matokeo).
Bando la 20k liishe kwa ajili ya marudio??acha uongo dhambi nyingine zinaepukika mbonaJana nimefurahi sana, sana, sana tena baada ya kuwaona friends of Simba wakiwepo uwanjani na kuunganisha umoja wetu, tumeshinda bao 7 0 dhidi y Horoya ambayo tangu kwao walionyesha uwezo mdogo sana, Simba ilitakiwa ishike nafasi ya kwanza katika kundi hili kama ingeipiga Horoya nyumbani kwako kwenye first round.
Pamoja na ushinda, nina ushauri kwa viongozi wa Simba.
1. Horoya tumewafungq bao 7, well and good lkn to be honest, Horoya wachovu sana.
2.Timu yetu inafanya sana makosa ambayo jana yalionekana mengi tu ila kwa sabu tumeshinda hakuna anayezungumia.Beki inakatika sana, tabia ya wachezaji kurudisha mipira kwa kipa mara kwa mara wakati mbele kuna mawinga wanaomba waletewe inakera sana, Onyango hana control, akianziwa na Manula kila mtu anashika mdomo wazi, mabeki na viungo hawana ushirikiano kabisa
3.Mechi na Raja tuende tukajifunze namna ya kukabiliana na aidha Mamelodi U Esperance au Wydad kwenye robo fainal, tuitumie mechi hiyo kutengeneza mbinu ya kupambana robo fainal.
4.Ukweli ni mchungu lkn hapo robo fainal kwa timu yetu hii tumefika mwisho, siridhishwi kabisa na mfumo wa uchezaji wa timu yetu.Kwa uchezaji ule kuna timu inaweza kutupiga saba hata sisi, sitoshangaa.
5.Kila heri mnyama, nakupenda ndio maana nmekwambia ukweli.Jana sikulala home kwa ajili ya kushangilia ushindi, bando la elfu 20 limeisha kuangalia marudio ya game ya jana.
Wanapiga sana 'back pass' hata timu ikiwa kwenye flow nzuri ya kushambulia....huu umekuwa ugonjwa kabisa.Ukweli ni kwamba chama letu ni bovu haswa midfielder, waoga kupiga pasi za kuposesi mpira, pasi za mbele mtihani kwao, wale watu wa mbele wakiongozwa na chama ni msaada mkubwa saana kwetu.. midfield yetu inavyocheza unabaki kutikisa kichwa kwa huzuni tu.
Wakuu wa husda na unafiki na ushirikina na uzandiki na FITINA WA SIMBA,hao wakiamua mechi waikalie chini hakuna timu inaeza chomoka taifa,hata mechi ya raja kufa 3 juzi kati,jamaa waliomba wapewe mechi wafanye yao,mwenyekiti akajifanya kawakazia,kilichowakuta ndo hicho.Hivi hao friends of Simba ndo kina nani?? Msaada kwenye tuta
Kama ni ishu ya quality ya wachezaji tu basi Ahly angekuwa anachukua kombe hili kila mwakaWatu wakweli kama wewe hamtakiwi Tanzania.
Kwenye robo fainali ndio watu watakubali hili ulichoandika, maana ukikutana na timu kama Mamelodi Sundowns uchawi hauna nafasi wanakupiga nje ndani.
Robo fainali ni quality ya timu tu na wachezaji ndio inaamuwaga washindi wa kusonga mbele.
Uchawi ulitumika jana?Watu wakweli kama wewe hamtakiwi Tanzania.
Kwenye robo fainali ndio watu watakubali hili ulichoandika, maana ukikutana na timu kama Mamelodi Sundowns uchawi hauna nafasi wanakupiga nje ndani.
Robo fainali ni quality ya timu tu na wachezaji ndio inaamuwaga washindi wa kusonga mbele.
Wazee wa fitna usipowapa ganji wanaivuruga timu haifanyi kitu, ndo maana wameyaita kwenye robo fainali.Ni kikundi cha wenye hela za deal na wanaomiliki waganga wachawi haswa.Wakikupania hawakuachi.Wanapaswa kuitwa wachuma simba.Hivi hao friends of Simba ndo kina nani?? Msaada kwenye tuta
Mm mwenyewe nimeshangaa ila JF Mungu anawaonaBando la 20k liishe kwa ajili ya marudio??acha uongo dhambi nyingine zinaepukika mbona
Kwahiyo unadhani Al Ahaly kukubali sare ya 2 kwa 2 Kwao Misri na kupigwa 5 South Africa siyo quality ya Mamelodi Sundowns?Kama ni ishu ya quality ya wachezaji tu basi Ahly angekuwa anachukua kombe hili kila mwaka
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hii ni kali mnooWazee wa fitna usipowapa ganji wanaivuruga timu haifanyi kitu, ndo maana wameyaita kwenye robo fainali.Ni kikundi cha wenye hela za deal na wanaomiliki waganga wachawi haswa.Wakikupania hawakuachi.Wanapaswa kuitwa wachuma simba.
Aiseee...hatari hiiiWakuu wa husda na unafiki na ushirikina na uzandiki na FITINA WA SIMBA,hao wakiamua mechi waikalie chini hakuna timu inaeza chomoka taifa,hata mechi ya raja kufa 3 juzi kati,jamaa waliomba wapewe mechi wafanye yao,mwenyekiti akajifanya kawakazia,kilichowakuta ndo hicho.
Hawa jamaa ni konyo sana usiombe waikalie mechi chini,azim dewji,hassan dalali ni miongoni mwa watu wabad hao.
Itakuaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lilikuwa kombe la Kinesi.