Hongera Monalisa, Jamiiforums tunakupongeza

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
HAPPY BIRTHDAY MONALISA

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Monalisa Mwigizaji na Mtangazaji wa kipindi cha Filamonata cha 100.5 Times Fm.

JF tunamtakia maisha mema yenye baraka na fanaka.
 
HAPPYBIRTHDAY MONALISA

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Monalisa Mwigizaji na Mtangazaji wa kipindi cha
Filamonata cha 100.5 Times Fm.
JF tunamtakia maisha mema yenye
baraka na fanaka.
Huu ni upambe usio na posho wewe umeteuliwa lini kuwa msemaji wetu?

Send ur personal wishes and let everyone who feel to do so is free Country.
 
Kumbe ni leo... Happy birthday MONALISA
 
Last edited by a moderator:
Huu ni upambe usio na posho wewe umeteuliwa lini kuwa msemaji wetu?

Send ur personal wishes and let everyone who feel to do so is free Country.

Kwani wewe unamsemea nani? ...kingereza chako majanga!!
 
HAPPYBIRTHDAY MONALISA

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Monalisa Mwigizaji na Mtangazaji wa kipindi cha
Filamonata cha 100.5 Times Fm.
JF tunamtakia maisha mema yenye
baraka na fanaka.

Sema wewe sio jamii forum kwanza mimi hata simjui

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Huu ni upambe usio na posho wewe umeteuliwa lini kuwa msemaji wetu?

Send ur personal wishes and let everyone who feel to do so is free Country.

Hahaha jf raha tupu
 
HAPPYBIRTHDAY MONALISA

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Monalisa Mwigizaji na Mtangazaji wa kipindi cha
Filamonata cha 100.5 Times Fm.
JF tunamtakia maisha mema yenye
baraka na fanaka.

Ulipoenda chaka ni hapo ulipojitwalia Madaraka ya "kutujumuisha" wote km jf eti tum wish hep bethday.hata hao akina invisible hawana mamlaka ya moja kwa moja kujitia kutusemea jf.wao watabaki km moderators tuu na si kujivukia mipaka hovyo.kuwa mjumbe Wa jf hakukupi power ya kuwasemea wajumbe wengine.ni vyema vilivyo vya binafsi vikawasilishwa kwa upana Wa ubinafsi wake.take it
 
Heri mimi sijasema.
 
Usikute ni yeye mwenyewe anajipongeza, usicheze na wasanii wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…