Ndio nani huyo
Swazi murua hili! Hata mimi nasubiri kwa hamu nimjue huyo mtu ambaye huyu jamaa anamtumia salaam za kuzaliwa kwa niaba ya jamii nzima ya jamii forums.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nani huyo
Ndio nani huyo
Ulipoenda chaka ni hapo ulipojitwalia Madaraka ya "kutujumuisha" wote km jf eti tum wish hep bethday.hata hao akina invisible hawana mamlaka ya moja kwa moja kujitia kutusemea jf.wao watabaki km moderators tuu na si kujivukia mipaka hovyo.kuwa mjumbe Wa jf hakukupi power ya kuwasemea wajumbe wengine.ni vyema vilivyo vya binafsi vikawasilishwa kwa upana Wa ubinafsi wake.take it
HAPPY BIRTHDAY MONALISA
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Monalisa Mwigizaji na Mtangazaji wa kipindi cha Filamonata cha 100.5 Times Fm.
JF tunamtakia maisha mema yenye baraka na fanaka.
Ndio nani huyo
Ni Mpishi Mkuu Gereza la Ukonga...
HAPPY BIRTHDAY MONALISA
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Monalisa Mwigizaji na Mtangazaji wa kipindi cha Filamonata cha 100.5 Times Fm.
JF tunamtakia maisha mema yenye baraka na fanaka.
Usikute ni yeye mwenyewe anajipongeza, usicheze na wasanii wa Tanzania
Najua unataka jibu langu ngoja nikuweke kapunii
Hahahahaa Ipo siku na mi ntamtakia Masanja mkandamizaji happy birthday kwa niaba ya wana JF. Lazima tushangazane mwaka huuu! Nimecheka sana eti JF tunakupongeza!!!