Oups!
Good News........
Ngoja ni dial some numbers.
\Jamani jana nilikuwa najiuliza sana huyu mpendwa kapotelea wapi ameadimika sana kwenye jukwaa letu la dini. Hongera mpenzi naona Mungu ametenda na kwako pia.
Ameagiza uende pale kwake 'Arusha-Meat, maana kunachemka mtori 24hrs!..Amesema pia kuwa anajua kuwa wewe ni mroho sana wa MTORI, hivyo kakuandalia jagi zima!...
yah...nimeongea nae muda si mrefu na amenithibitishia hilo......asante sana shemeji.....
MI SIO SHEMEGI yako...naukataa huo ushemegi, ushindwe kabisa!...Mimi niwe shemegi, halafu?