Hongera Msindima kwa BabyGirl

Hongera Msindima kwa BabyGirl

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,199
Reaction score
8,761
Dada na Member mwenzetu Msindima wa Arusha amenipigia jana kuwa usiku wa kuamkia Jumapili 30/10/2011 saa 9.00 za usiku alijaaliwa kupata Babygirl.
Ikumbukwe kuwa Msindima alifunga ndoa iliyohudhuriwa na wanaJF kibao mwaka 2009.

Lakini pia mtoto huyu mpya kwa Msindima ni precious baby, kutokana na matatizo ya uzazi ambayo ameyapitia siku za nyuma.

Nachukua nafasi hii kumpongeza sana Dada Msindima kwa ugeni huu, na Mungu aibariki sana familia yake.

T37-3A
 
Jamani jana nilikuwa najiuliza sana huyu mpendwa kapotelea wapi ameadimika sana kwenye jukwaa letu la dini. Hongera mpenzi naona Mungu ametenda na kwako pia.
 
Hongera saana Msindima.... Mwenyezi Mungu akujalie na kukukuzia baby...
(so good of you P Jimmy kumkumbuka)
 
Jamani jana nilikuwa najiuliza sana huyu mpendwa kapotelea wapi ameadimika sana kwenye jukwaa letu la dini. Hongera mpenzi naona Mungu ametenda na kwako pia.
\
Kweli kabisa, Msindima ni dada mmoja mcha Mungu sana, na kwa kweli Mungu amemwonyesha kuwa hawezi kumwacha Yatima!...
 
me too....
Hongera Msindima.....
Ameagiza uende pale kwake 'Arusha-Meat, maana kunachemka mtori 24hrs!..Amesema pia kuwa anajua kuwa wewe ni mroho sana wa MTORI, hivyo kakuandalia jagi zima!...
 
Ameagiza uende pale kwake 'Arusha-Meat, maana kunachemka mtori 24hrs!..Amesema pia kuwa anajua kuwa wewe ni mroho sana wa MTORI, hivyo kakuandalia jagi zima!...

yah...nimeongea nae muda si mrefu na amenithibitishia hilo......asante sana shemeji.....
 
yah...nimeongea nae muda si mrefu na amenithibitishia hilo......asante sana shemeji.....
MI SIO SHEMEGI yako...naukataa huo ushemegi, ushindwe kabisa!...Mimi niwe shemegi, halafu?
 
Hongera yake msindima, Mungu awajalie afya njema yeye pamoja na mtoto.
 
Back
Top Bottom