Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hujamwibia rafiki yako kweli?Hatimae dogo kaukwaa umonita hongera kwake
Unaleta povu while Jukwaa ni la jokes/utani...kwa kweli sisi ndo watanzania, habari za umonita unaleta huku mamilioni ya watu wanakuja kutafuta habari za msingi ila daaaah unaleta za umonita. uhuru ukizidi unakuwa upumbavuu
Mambo![emoji3] [emoji3] [emoji3]
Poa nambieMambo!
Huyu Dogo atakuwa kada aliyegombea akashindwa kwenye kura za maoni sasa kakumbukwa hongera kwake[emoji57] [emoji57]Safi dogo kaula. [emoji1]
Endeleeni kumtia moyo atafika mbali
teh teh teh...Heeh mbona sijaona bandiko lenye saini ya Msigwa?!
Nano kamteua kwani?