dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,439
Hakuna ka tafrija ka pongezi? Tumpe zawadi za magari na nyumba?Hatimae dogo kaukwaa umonita hongera kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ka tafrija ka pongezi? Tumpe zawadi za magari na nyumba?Hatimae dogo kaukwaa umonita hongera kwake
HahahahHuyu Dogo atakuwa kada aliyegombea akashindwa kwenye kura za maoni sasa kakumbukwa hongera kwake[emoji57] [emoji57]
Sasa ndugu si uende kwenye jukwaa linalokuhusu huko, kwa kuanzia tu nenda la siasakwa kweli sisi ndo watanzania, habari za umonita unaleta huku mamilioni ya watu wanakuja kutafuta habari za msingi ila daaaah unaleta za umonita. uhuru ukizidi unakuwa upumbavuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aahahaha wee jamaa banaa...Hatimae dogo kaukwaa umonita hongera kwake