Hongera Mtoto wa Rafiki yangu kwa kuchaguluwa kuwa monita darasa la nne B

kwa kweli sisi ndo watanzania, habari za umonita unaleta huku mamilioni ya watu wanakuja kutafuta habari za msingi ila daaaah unaleta za umonita. uhuru ukizidi unakuwa upumbavuu
 
kwa kweli sisi ndo watanzania, habari za umonita unaleta huku mamilioni ya watu wanakuja kutafuta habari za msingi ila daaaah unaleta za umonita. uhuru ukizidi unakuwa upumbavuu
Unaleta povu while Jukwaa ni la jokes/utani...
Kama unataka habari za msingi nenda majukwaa husika utazipata
 
Mwanzo mzuri jamani mbona mnafanya utani na career za wenzenu
 
Heeh mbona sijaona bandiko lenye saini ya Msigwa?!
Nano kamteua kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…