Hongera Mtoto wa Rafiki yangu kwa kuchaguluwa kuwa monita darasa la nne B

Huyu Dogo atakuwa kada aliyegombea akashindwa kwenye kura za maoni sasa kakumbukwa hongera kwake[emoji57] [emoji57]
Hahahah
Kapangiwa kazi nyingine huyo.

Watu hawajua hata Obama alikuwa Monitor akiwa mdogo watoto wana anzia huko huko
 
kwa kweli sisi ndo watanzania, habari za umonita unaleta huku mamilioni ya watu wanakuja kutafuta habari za msingi ila daaaah unaleta za umonita. uhuru ukizidi unakuwa upumbavuu
Sasa ndugu si uende kwenye jukwaa linalokuhusu huko, kwa kuanzia tu nenda la siasa
 
Asije akawa tu kama yule speaker wa bunge la nchi gani ile kule Africa ya... Nimesahau kidogo ngoja niangalie kwenye daftari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…