Hongera Mtwara

Hongera Mtwara

zwangandaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
747
Reaction score
1,404
Mwezi Novemba mwaka huu nilikuwa na safari kadhaa za kwenda mkoani Mtwara kwa pilika zangu binafsi.

Mara nyingi nilitumia mabasi ya usiku kutokea Mbagara rangi 3.

Cha ajabu na kushangaza sikuwahi kufikiri kwamba mikoa ya kusini kuna pisi kali kwa kiwango kile.

Wadada wana rangi za weupe wa asili wa kuvutia na mashepu kama yote. Safari ndefu takribani masaa 8 ila inakuwa fupi sana kama dk 5!

Mwezi Nov narudi tena.
 
Mwezi Novemba mwaka huu nilikuwa na safari kadhaa za kwenda mkoani Mtwara kwa pilika zangu binafsi.

Mara nyingi nilitumia mabasi ya usiku kutokea Mbagara rangi 3.

Cha ajabu na kushangaza sikuwahi kufikiri kwamba mikoa ya kusini kuna pisi kali kwa kiwango kile.

Wadada wana rangi za weupe wa asili wa kuvutia na mashepu kama yote. Safari ndefu takribani masaa 8 ila inakuwa fupi sana kama dk 5!

Mwezi Nov narudi tena.
Wasukumah mnazingua sana
 
Beware of the AIDS.
Usiku unaongopa mengi especially if you are intoxicated with alcohol or under influence of marijuana.
 
Mbwa km mbwa niliona mbwa dume watatu na jike mmoja na katika hao dume mmoja ndio anaongoza lile jike na anaonekana ndio analimiliki huku mmoja akifuata kwa nyuma na mwingine kwa pembeni anabweka sana kuna mzee akaniambia yule mmoja anaeongoza akiona huyu anabweka sana analiamrisha lile jike lipigwe miti likazwe likandwe na yule anaebweka kwani ilichukua round dakika 5 kidogo wakaingia chaka moja nikasikia jike linalia mzee akasema tayari huko yule mbweka ovyo kapewa achovye hutosikia tena akibwekabweka
 
Nje ya Mada:

Wazazi ninawaasa jamani wazazi mnaotumia pombe kali keivant minyagi na mipombe mingine mibia mingano jamani wazazi chonde chonde wazazi pombe mnazokunywa msiwape watoto, kuna wazazi ni vichwa maji anataka familia yake yote wawe walevi wanywa pombe kwa hio anaanza kuwabugiza watoto pombe wakiwa watoto yaan mzazi unawanywesha watoto konyagi kweli?

Kweli mzazi watoto miaka 3-8 unapigisha nyagi kisa unataka nao waje kua wanywa pombe? Hii hapana kabisa, ipo hivi kuna mtoto hapa jirani anapitia changamoto ya kuugua kifua kisichoisha na usiku anapata tabu sana anapolala kifua kinambana vibaya mno pia ana tatizo la kukojoa, sasa ipo hivi huyu mtoto mzazi wake akiacha kumpigisha tungi hio hali inapungua hakojoi wala kifua hakibani ila kuna muda anaanza kumpigisha tungi sana sana konyagi chupa ndogo kubwa zimejaa kwenye fridge watoto kila wakifungua fridge wanazikuta na muda mwingine wanataka wanywe nae maana ananywea nyumbani sometimes kwa hio hali inakua mbaya mtoto analala kwa tabu sana unaweza kumhurumia kifua km kimepasuka eksozi anavyokoloma km kifua kimetoboka na anajikojolea mbaya zaidi ni mtoto wa miaka 8 tu, mzazi unamnyweshaji mtoto pombe kali? Mboni wazazi mnapenda kutesa watoto, mtoto na pombe kali wapi na wapi?

Huu ni ukatiri kwa watoto ningeomba Muheshimiwa Waziri na mamlaka zinazohusika na Watoto wajaribu kuwaasa wazazi wenye tabia km hizi waache mara moja kuna wazazi ni vichwa vibovu kabisa
 
Back
Top Bottom