Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Wakuu wazima,
Kwanza nitoe pole kwa dada huyu kwa kuondokewa na mwanae.
Ushabiki tuweke pembeni.
Jamani Muna hongera mama pamoja na kuwa wewe ulikuwa Star ila umeweza mlea mwanao katika ile njia impasayo ya dini.
Ninekuwa nikiangalia maneno ambayo huyo mtoto akionekana akiongea kuhusu dini kwakweli anaonekana kashika dini.
Nafikiri ni wakati wa watoto wa ma star wengine kuiga kile ambacho Muna amekifanya kwa mwanae.
Hongera Muna