Hongera MunaLove kwa kumlelea mtoto katika dini

Muna ndo nani? Wengine tunatokea vijiji visivyo hata na taa wala tivi
 
mbona huyo mfiwa mwenyewe yupo active instagram? tuache unafki kuna viumbe hawastahili huruma, na isitoshe yule malaika hana dhambi he is in heaven now, ni bora Mungu amemtowa kwenye mikono ya kahaba angepata tabu sana huko mbeleni.
haa...haa..kule wangu ni biashara ndo anapoendeshea maisha itabidi nifungue ukurasa wake nione huwa anaandika nini?
 
mbona huyo mfiwa mwenyewe yupo active instagram? tuache unafki kuna viumbe hawastahili huruma, na isitoshe yule malaika hana dhambi he is in heaven now, ni bora Mungu amemtowa kwenye mikono ya kahaba angepata tabu sana huko mbeleni.
Agree with you 100%..
 
Back
Top Bottom