Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ni msajili wa vyama na taasisi.Muna ni.nani?
duh...huyu alisimamishwa juzi na mwigulu....???Ni msajili wa vyama na taasisi.
Acha kuhesabu hatua za mwenzako...amebadilika now...hakuna mkamilifu...
Majibu ya leo yametulia haswaaaaaWaleteni kwangu wote waelemewao na mizigo nami nitawapumzisha.
Jina lake ni Maimuna, ndio kifupi cha Muna. waswahili wana shida sana.anaitwa rose kumbe, hawa maarufu wa mitandao shida sana...
do! punguza basi hata ukali wa maneno bado msiba mbichi sana.Shetani moja hivi...hiyo in white dress...
View attachment 802954
mbona huyo mfiwa mwenyewe yupo active instagram? tuache unafki kuna viumbe hawastahili huruma, na isitoshe yule malaika hana dhambi he is in heaven now, ni bora Mungu amemtowa kwenye mikono ya kahaba angepata tabu sana huko mbeleni.do! punguza basi hata ukali wa maneno bado msiba mbichi sana.
haa...haa..kule wangu ni biashara ndo anapoendeshea maisha itabidi nifungue ukurasa wake nione huwa anaandika nini?mbona huyo mfiwa mwenyewe yupo active instagram? tuache unafki kuna viumbe hawastahili huruma, na isitoshe yule malaika hana dhambi he is in heaven now, ni bora Mungu amemtowa kwenye mikono ya kahaba angepata tabu sana huko mbeleni.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wewe kweli dataShetani moja hivi...hiyo in white dress...
View attachment 802954
Agree with you 100%..mbona huyo mfiwa mwenyewe yupo active instagram? tuache unafki kuna viumbe hawastahili huruma, na isitoshe yule malaika hana dhambi he is in heaven now, ni bora Mungu amemtowa kwenye mikono ya kahaba angepata tabu sana huko mbeleni.
Anaitwa rose hiyo muna ni aka tu alijipa kiuigizajiJina lake ni Maimuna, ndio kifupi cha Muna. waswahili wana shida sana.
hapo ndio umemaliza hahaahahahhahaRose aliyefiwa na mwanae huko Nairobi😳🙄😵
Ni JINI mnyonya damuMuna ni.nani?