fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,617 Reaction score 8,244 Nov 9, 2023 #1 Kama mliangalia vizuri, musonda alivyotolewa akaingizwa mzize. Alimlalamikia sana Gamondi, lakini mzize alipofunga Musonda alienda kwa Gamondi na kumpongeza kwa kumkumbatia, huo ndio uanamichezo.
Kama mliangalia vizuri, musonda alivyotolewa akaingizwa mzize. Alimlalamikia sana Gamondi, lakini mzize alipofunga Musonda alienda kwa Gamondi na kumpongeza kwa kumkumbatia, huo ndio uanamichezo.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Nov 9, 2023 #2 Ukiwa mchezaji unaelewa hii, kila mchezaji huwa anapenda zaidi kucheza, muda matokeo bado anatamani zaidi kusaidia timu. So ni jambo la kueleweka. Hongereni utopolo.
Ukiwa mchezaji unaelewa hii, kila mchezaji huwa anapenda zaidi kucheza, muda matokeo bado anatamani zaidi kusaidia timu. So ni jambo la kueleweka. Hongereni utopolo.