chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi.
Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu hakuwa na viongozi wa chama, alikuwa na familia yake, yule binti Nicole, kama chama kina uongozi, kwa nini asiwe nao? Hiki ni chama cha familia? Au maandamano yalipangwa na familia?