Hiki chama huwa kinajiona cha maana kikiombwa kishirikiane wengine huwa wanajiona miungu wwtuNawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi.
Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu hakuwa na viongozi wa chama, alikuwa na familia yake, yule binti Nicole, kama chama kina uongozi, kwa nini asiwe nao? Hiki ni chama cha familia? Au maandamano yalipangwa na familia?
CHADEMA haina makada Ina wanachama, msemo wa makada upo huko CCMNawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi.
Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu hakuwa na viongozi wa chama, alikuwa na familia yake, yule binti Nicole, kama chama kina uongozi, kwa nini asiwe nao? Hiki ni chama cha familia? Au maandamano yalipangwa na familia?
Tunashukuru, kwa nguvu hiyo ya kuchukia mabaya, tuambie nani walimpiga risasi lisu, nani wamemuua Ali kibao, nkNawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi.
Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu hakuwa na viongozi wa chama, alikuwa na familia yake, yule binti Nicole, kama chama kina uongozi, kwa nini asiwe nao? Hiki ni chama cha familia? Au maandamano yalipangwa na familia?
Waliosema hii ni SACCOS waliona mbali sanaaaNawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi.
Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu hakuwa na viongozi wa chama, alikuwa na familia yake, yule binti Nicole, kama chama kina uongozi, kwa nini asiwe nao? Hiki ni chama cha familia? Au maandamano yalipangwa na familia?
Leo mtalala na viatu yule jambazi wenu kapigwa na kitu cha tani 100...hku yuke mwenyekiti mwenye diploma ya mzumbe nchi imemshindaNawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi.
Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu hakuwa na viongozi wa chama, alikuwa na familia yake, yule binti Nicole, kama chama kina uongozi, kwa nini asiwe nao? Hiki ni chama cha familia? Au maandamano yalipangwa na familia?
CHADEMA haitumii neno cada, neno kada, ILANI wanatumia Mboga mboga ccmHao ni makada
Nilishangaa hata katibu wake wa uenezi kamanda Erythrocyte alimkacha akaishia mitini!Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu hakuwa na viongozi wa chama, alikuwa na familia yake
Mental illness is real.Nawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi.