Hongera Mwakyembe timu haiwezi kumilikiwa kwa njia za panya

Hongera Mwakyembe timu haiwezi kumilikiwa kwa njia za panya

Chelsea au manchester unted zina milikiwa na wawekezaji wangapi?

huu mchezo wa waziri na kilomoni ndio unawafanya watanzania washabikie timu za ulaya.

ningekua Mo ningeachana na uwekezaji ningedai pesa zangu zote tangu niwekeze alafu tuone mwisho wake.
Huyo Mo msanii tu, Lyon na Singida Utd zilimshindaje?
 
Mfumo wa uwekezaji ni mgumu sana Tanzania kwa hizi club za wananchi. Ili kuondoa lawama wananchi wenyewe tuzichangie timu zetu. Mo hawezi kuwa na pesa nyingi kuliko wananchi, wananchi tunaweza
Miaka yote tulichanga lakini hatukufika popote.......Angalizo..Manji alipokuwa Yanga, ilifanya VIZURI sana. MO kaja Simba vile vile imefanya VIZURI ZAIDI...... Michango ya wanachama si lolote si chochote kwa zama hizi.....Tafakari.....
 
Mwakyembe ni mwanasheria yule hajakurupuka
Acha mashabiki wasiolewa wapige kelele
Kama alivyosema hakuna watu kufunga ndoa mpaka muwe na vyeti vya kuzaliwa toka RITA... Hivi hawa viongozi wetu huwa wanakaa chini na kuchanganua mambo kabla ya kutoa maamuzi sahihi au???
 
Kama alivyosema hakuna watu kufunga ndoa mpaka muwe na vyeti vya kuzaliwa toka RITA... Hivi hawa viongozi wetu huwa wanakaa chini na kuchanganua mambo kabla ya kutoa maamuzi sahihi au???
Mimi nakwambia kwa huyu jamaa hakuna uongozi ndani yake, anajipuyangia tu. Sijui kwa nn JPM hajamtoa mpaka muda huu,
 
Lakini MO aliwahi kuwekeza African Lyon akashindwa, akaidhamini Singida united akashindwa kwa kuwa hizi hazina majengo. Sasa kawekeza Simba ataweza? Au anataka tu hati ya jengo akopee benki? Mi naona waziri yuko sahihi wawekezaji wawe zaidi ya watatu.
Unataka kusema mo anashindwa kukopa benki bila iyo hati
 
Hisa sio kugawana Mo anatakiwa akae pembeni mchakato wa hisa unawekwa mezani
Waje watu tofauti wenye nia ya kuwekeza
Alafu nyie kilomoni & co kama hamna akili vile!!! Msimu unakaribia kuanza hakuna hata mdhamini 1, mwekezaji ndo mtamtoa wapi? Zaidi ya Mo ni nani mwingine alilnyesha nia kuwekeza Simba? Hivi Mo akijiondoa nyie mna uwezo wa kulipa hata mishahara ya mwezi mmoja?
 
Msimu kuanza ndio sheria zisifuatwe?
Ngojeni Mo aondoke ndo tutajua kama mna uwezo au ni wapiga porojo.
Manji aliondoka yanga sasa ona Mzee Akilimali anapigania ubwabwa wa Khitma na vijana kule tandika. Kilomoni hata kukarabati nyumba yake ameshindwa alafu eti anataka kusimamia mali za timu! Stupidest
 
Kila nikikumbuka miaka tuliosota kwa kejeli bila ubingwa,sijui serikali ilikuwa wapi,sijui huyo aliotaka kuweka bilion 50 ( kwa mujibu wa reply nilizoona)alikuwa wapi,sijui hao wanaoitakia mema club walikuwa wapi? Mo kuingia TU,kombe miaka miwili,na robo fainali Africa! Timu imeng'aa Mara Mo kawa mwizi [emoji31] Mo kawa anaitumia club ili afaidike[emoji31][emoji26] Watz tuna roho za kichawi Sana! I wish Mo aondoke tuone!
Tatizo ametaka hati hapo ndipo palipomkwamisha Kiongozi.
 
Alafu nyie kilomoni & co kama hamna akili vile!!! Msimu unakaribia kuanza hakuna hata mdhamini 1, mwekezaji ndo mtamtoa wapi? Zaidi ya Mo ni nani mwingine alilnyesha nia kuwekeza Simba? Hivi Mo akijiondoa nyie mna uwezo wa kulipa hata mishahara ya mwezi mmoja?
Tutalipa Bhana akwende zake. Mo Naye janja janja nyingi mno. Akiambiwa aweke 20b anaanza mara ooh ningejua ningenunua bank mara nimeshatoa Tayari 5b mara ooh nipeni kwanza hati ya jengo. Hasomeki ati. Bora kapigwa stop.
 
Ngojeni Mo aondoke ndo tutajua kama mna uwezo au ni wapiga porojo.
Manji aliondoka yanga sasa ona Mzee Akilimali anapigania ubwabwa wa Khitma na vijana kule tandika. Kilomoni hata kukarabati nyumba yake ameshindwa alafu eti anataka kusimamia mali za timu! Stupidest
Mzee Kilomoni anasimamia haki inayotaka kuporwa na Mo. Tatizo vijana wa leo hamjui uchungu wa kubeba tofari kichwani.
 
Back
Top Bottom