Hongera Mwamnyeto lakini bado una machache ya kurekebisha

Hongera Mwamnyeto lakini bado una machache ya kurekebisha

Muhimu tumewafunga mdomo makolo hayo mengine ni ya kocha na wachezaji wake.
Mbona midomo yetu badooo kabisa ndo kwanza tumeifungua...hahah ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜†
 
Mwamnyeto anajua kukaba tu, akisha-win mpira hajui sehem sahihi yakupeleka
 
Kwahiyo nawewe kwa akili yako unaamini kuwa kikosi cha simba ni bora kuliko pyramids?
Kuna vyombo vinavyofanya utafiti, ninatumia data zao. Utafiti unapingwa kwa utafiti, sio kwa hisia za mtu ambaye hata shahada ya kwanza tu hana
 
atakusumbua sana baadaye, mtumie tu umuache usimuoe
Mbele ya pesa hakisumbui kitu...nakushauri bwamdogo tafuta pesa sana hiyo ndio heshima hata mfalme Seleman anatumbulika kwa utajiri na sio huo upuuzi wa shahada
 
Vise versa is totally true, ulikutana na mbwenyenye si Mabeki visiki wenye uzoefu wa kazi na kujua akili yako inachowaza ni kipi kabla ya kuwatoka.

Messi alirusha masumbwi (ngumi) kule La Liga alipobanwa na kushindwa kufurukuta kabisa, sembuse wewe [emoji848][emoji38]
Hayo ni mawazo yako mkuu sikatai ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š hata mbwana samatta alipokua anakomaa na mpira kuliko masomo wapo ambao Hawa kumwelewa ila yeye aliamini mpira wa miguu...

Nacho andika sio hekaya za abonuwasi au kujimwambafai...uli itaji MACHO na sekunde kadhaa mpira ukiwa mguuni kwangu....kwenye mguu wangu wakushoto MUNGU aliweka kipaji maridhawa...

Pamoja na umri wangu wa miongo mitatu na ushee.... Still kwenye NBC Primer Ligue Kuna watu 3 wanacheza ukibisha sana ntamwambia uwaulize kukusu mimi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Back
Top Bottom