Hongera Mwana JF, hatimae Vyoo vya Stand ya Mkoa Hapa Sumbawanga vimerekebishwa.

Hongera Mwana JF, hatimae Vyoo vya Stand ya Mkoa Hapa Sumbawanga vimerekebishwa.

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,459
Reaction score
100,799
Moderator utanisaidia kuweka link ya ule uzi na jina la mleta uzi.

Kwenye uzi ule MwanaJF alionyesha hali mbali mbaya ya choo cha stand ya Mkoa pale Katumba, Sumbawanga. Na mimi pia nilichangia.

Uzi huu ni appreciation kwa Jamii africa, mleta uzi na watekelezaji. Hongera JF, Hongera Mwana JF na hongera Wahusika kwa kuamshwa usingizini. Bado suala la maji naona hayatoki. Nimefurahi kuona hakuna harmful wala inside, sijui wametumia formaline hahahahahaa joking

Naelekea MambweMkoswe kisha nitapitia Kaburi Wazi, Maybe nitakaporudi mtakua mmemaliza suala la maji, tuache kutumia maji ya kwenye pipa.
 
Mbona haya masink yameoza mkuu?
tailiz zimechoka

hayo marekebisho yamefanywa wapi?
 
Picha hizi hapa
20250803_111528.jpg
20250803_111523.jpg
20250803_111246.jpg
20250803_111240.jpg
20250803_111240.jpg
20250803_111235.jpg
20250803_111235.jpg
20250803_111232.jpg
20250803_111246.jpg
 
Back
Top Bottom