Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
PonjoroWamerekebisha kwa kuweka masink used?
SWamerekebisha kwa kuweka masink used?
Pata picha before hali ilivyokua, maybe contentanalyst atusaidie kuweka ile threadMbona kama bado hali ni mbaya?
Hebu watumie maji ya betri (acid kali) kuumua huo ukungu mweusi utoke, mi nachukia maukungu chooni acha tu..Pata picha before hali ilivyokua, maybe contentanalyst atusaidie kuweka ile thread
Kiwanda cha UTI SUGUHebu watumie maji ya betri (acid kali) kuumua huo ukungu mweusi utoke, mi nachukia maukungu chooni acha tu..