johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyo ni mmoja wa mwana mageuzi anaye iwakilisha Iringa vyema sanaHongera sana Kamanda Allen Kilewella pamoja sana.
Ushindi hawezi kupata jambo jema ni kuwa cleared kwenye issue ya uraia!Namtakia ushindi wa kishindo[emoji122]
Huwa nakushangaa unavyotukana watu kana kwamba huwezi kuishi bila longolongo za siasa.Leo hii ndiyo unajua kuwa siasa siyo uadui?
Naona leo akili imekurejea, inawezekana shemeji yako kakukanyaHuwa nakushangaa unavyotukana watu kana kwamba huwezi kuishi bila longolongo za siasa.
Kuna maisha baada ya Siasa usiwe " kama " mbwiga!
Mwenzako anatumia akili siyo kama weweKumbe mbwembwe zote humu alitaka kugombea?
Hahahaaaa.......!Kumbe mbwembwe zote humu alitaka kugombea?
Mkuu, uafikili zile lufaa za mh Lisu zingelikubaliwa, hapa ungeandika hikihiki?Utawala umejawa na dhuruma vinyongo Chuki Udikteta kusigina katiba na kila maasi.
Asante
Think tank.
Asante pentagon.
Mwambie Magu basi naye aheshimu watanzania. 2015 kuna alituita malofa....naishia hapaHuwa nakushangaa unavyotukana watu kana kwamba huwezi kuishi bila longolongo za siasa.
Kuna maisha baada ya Siasa usiwe " kama " mbwiga!
Hayo maneno angeenda kumwambia baba yake sijui mjomba ake Jiwe angekuwa kafanya la maana sanaLeo hii ndiyo unajua kuwa siasa siyo uadui?