Uchaguzi 2020 Hongera mwanaJF Allen Kilewela kwa kushinda rufaa ya Udiwani Gangilonga

Uchaguzi 2020 Hongera mwanaJF Allen Kilewela kwa kushinda rufaa ya Udiwani Gangilonga

Kati ya wanalumumba buku7 huyu johnthebaptist anajielewa sometimes hata mada zake kunua kipindi anakuwa neutral

Huyo Bwashee johnthebaptist ukiona anakuja jukwaani na mada zenye mashiko kama hii ya Kamanda wa Chadema, basi ujue hajalipwa posho yake pale Lumumba.

Akishalipwa tu hiyo posho yake ya siku, huwa ni nadra sana kumtofautisha na Bia yetu.
 
Hongera kwako Kilewella.
Kila la kheri kwenye harakati zako
 
Maendeleo hayana vyama na Siasa siyo uadui.

Nipata taarifa kuwa mgombea udiwani kata ya Gangilonga Iringa mjini mwanabodi Allen Kilewela amerejeshwa kwenye kinyang'anyiro na NEC.
Hongera zake tukutane 28 October!

Maendeleo hayana vyama!
Unaposema maendeleo hayana vyama unamaanisha nini?
 
Maendeleo hayana vyama na Siasa siyo uadui.

Nipata taarifa kuwa mgombea udiwani kata ya Gangilonga Iringa mjini mwanabodi Allen Kilewela amerejeshwa kwenye kinyang'anyiro na NEC.
Hongera zake tukutane 28 October!

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu ukimaliza kuchat ebu njoo hapa Meatu Mwanhuzi jimboni kwa Leah Komanya,fika hapa CCM,katibu wa wazazi ana mzinga wa K-Vant kwa ajili yako,all on me!
Maendeleo kweli hayana vyama!
Big up!
 

Attachments

  • Screenshot_20200906-222201_Gallery.jpg
    Screenshot_20200906-222201_Gallery.jpg
    81.3 KB · Views: 1
Una akili sana Mkuu. Hawa walioenguliwa kisha kurudishwa wamepoteza karibu wiki mbili za kufanya kampeni kutokana na uhuni wa tumeccm na hakuna namna ya kuupata tena muda huo na waathirika wote ni Chadema au ACT Wazalendo.

Muda aliopotezewa unafidiwaje?? Upuuzi wa NEC umefika mwisho. Lissu atawaingiza kidole jichoni
 
Back
Top Bottom