Hongera Mzee Kinana, Trafiki wamepungua

Hongera Mzee Kinana, Trafiki wamepungua

Trafiki wamepungua lakini ajali zimeongezeka yan ukifungua tu data mtandaoni,lazima ukutane na ajali inayohusu mabasi yaendayo mkoani..na watu wanandei si mchezo,juzi,jana,leo..so sad
Si kweli ajali huwa zipo tu hasa mwezi wa nane na wa tisa... pili trafiki wamepunguzwa sana mijini.
 
Mfano fuso kuacha njia na kupinduka, trekta kugongana na gari usiku trafiki angezuiaje?
Akikujibu unitag niko apa matako Bar nakunywa bia akikujibu nitagi nije kumnunulia Savana nne
 
Akikujibu unitag niko apa matako Bar nakunywa bia akikujibu nitagi nije kumnunulia Savana nne
Matako bar!!??…🤔 Hili jina limenivitia kidogo..hebu toa lokesheni kidogo,nimepewa kakodi ka kajumba kangu nataka nikashangae kidogo
 
Mfano fuso kuacha njia na kupinduka, trekta kugongana na gari usiku trafiki angezuiaje?
hizo ulizozitaja haziitaji trafiki. Nauliza hizi za karibuni ambazo zimetokea kwenye barabara kuu tena mchana kweupe au wewe uanze kukaa barabarani ili uweze kuzuia hizo ajali nadhani
 
Labda Sasa wakikumbuka zile buku mbili mbili za ovyo ovyo mioyo inatikisa vifua
Anyway tumewasapot sana mishe zao!!
 
Back
Top Bottom